Tukiamua tunaweza

asha mushi

Member
Feb 23, 2017
33
29
*KWA WANAWAKE WANAWAKE..!*

Shalom wana wa Baba!
_Naomba niwaletee hii kwa wadada tu..._

Mabinti wengi wanapokuwa kwenye uhusiano na mwanaume wanayempenda, na mwanaume huyo kumuhakikishia Kumuoa.

Inapotokea mwanaume huyo kutaka Ngono (sex), uwezakano wa mabinti kukataa ni asilimia 0.0001 (0.0001 %) sawa na hakuna KABISA.

Kama akitokea amekataa basi huyo mwanaume hampendi, haamini kama kweli anamanisha kuwa naye, huyo mwanaume si king'ang'anizi kutaka wa sex au huwa hawana mazoea ya kukaa sehemu za faragha.

Nimekaa na mabinti na nimeona wana UDHAIFU mkubwa sana Katika kuwakatalia wanaume wanaowapenda kufanya Ngono.

Hivyo naomba nitumie nafasi hii kuwakumbusha mambo yafuatayo kuhusu mwanaume ..


✍ *Kama unampa ili UMRIDHISHE*

Basi kaa ukifahamu mwanaume si mtu wa kuridhika, mpe Leo, mpe kesho na bado atataka tena.

✍ *Kama unampa ili ASICHEPUKE*, *_basi unajidanganya..!_*

Tamaa ya ngono na mwanaume ni kama mapacha wa tumbo moja. Kama Biblia ingeruhusu wanaume kuoa mke zaidi ya mmoja, basi ungejikuta wewe ni wa pili (bi mdogo), au ungetafutiwa mke mwenzako kama wewe ndio ulitangulia.

*Ni Yesu tu aingilie kati na aushike moyo wake.*

✍ *Kama unampa ili kudumisha UPENDO*..

*Pole..!*Mara Baada ya kuona uchi wako, upendo kwa wanaume wengi hupungua, maana unakuwa hauna JIPYA kwake. Angalia utaishia kuweka msiba usiokuwa na waombolezaji.

✍ *Kama unampa ili AKUOE*, *_FIKIRI UPYA..!_*

Chanzo cha ndoa si wewe Kuvua Sketi yako, ndoa ni Agano takatifu ambalo mwanzilishi wake ni Mungu mwenyewe. JITAMBUE, USIJIRAHISISHE...!

✍ *Kama unampa ili ASIKUACHE*, Labda nikuambie ni nani unayepaswa kumuogopa..!

Haina haja ya kuogopa kuachwa na mwanaume (asiye na Hofu ya Mungu) maana hana sehemu ya kukupeleka, bali muogope Mungu ambaye aliyeshika maisha yako na mwenye uwezo wa kukuhukumu Katika Jehanum ya MILELE, kwa dhambi hiyo ya Uzinzi unayoifanya.

_Mabinti wengi Leo wameumizwa Katika Mapenzi, wanafanya ngono kuwaridhisha wanaume huku wakimkasirisha Mungu na wengine hata kuacha IMANI (Wokovu) kabisa._


*_Ujumbe huu ukasaidie kukutoa kwenye maangamizo ambayo Ibilisi ameendaa kwa ajili yako._*

*"Ndoa
bila kuvua Sketi
INAWEZEKANA, UKIAMUA "*

*_Mwanamke JITAMBUE, JITHAMINI na UJIAMINI._*

*YESU MBELE MWANAUME NYUMA*.

*_Warumi 8 : 31_*

 
unakuta ni limama huko lishachuja tena yeye alianza kuvua chupi yuko la tatu afu anakuja kuwa ongopea watoto zake hapaa..nyoooooooooooo!!!!!!,,,ata wadada hua wanapata nyege sema tu hua hamfunguki kama sis
 
Pole sana,hawa unaowaelimisha washatobolewa bk zao toka darasa la kwanza na sasa hv zimechakaa.
Nakushauri ukaanza na shule ya msingi mtumishi wa Mungu,huku ukipinga ngono utashambuliwa km mpira wa kona,nenda kaanze kujenga foundation primary school
 
Wasichana wa siku hizi hata hutumii nguvu nyingi kumuomba akuvulie pichu,miaka ya nyuma kumtongoza demu inakuchukua miezi hata 18,hapo ni kutongoza tu bado kuomba gemu,siku hiz hata hakuna shida,wao ndo wanatongoza men wakidai eti haki sawa,heshima ya mwanamke hakuna tenaaaa.
Zamani mama zetu na Dada zetu walikua wanajiheshimu na kujisitiri sana,yani siku ukibahatika kuona tu robo paja unadinda fasta,mana hujazoea hivo vi2.

Sasa hivi mademu wanatembea na nguo za kulalia,yani wanatamani wawe wanatembea uchi kabisa ili tuone hizo nanii zao.Hawana thamani tena hao,sasa hv mtoto mdg akitolewa bikra anafurahi eti first man touch
 
unakuta ni limama huko lishachuja tena yeye alianza kuvua chupi yuko la tatu afu anakuja kuwa ongopea watoto zake hapaa..nyoooooooooooo!!!!!!,,,ata wadada hua wanapata nyege sema tu hua hamfunguki kama sis
Hahahaha aya ndugu ni maoni yako
 
Pole sana,hawa unaowaelimisha washatobolewa bk zao toka darasa la kwanza na sasa hv zimechakaa.
Nakushauri ukaanza na shule ya msingi mtumishi wa Mungu,huku ukipinga ngono utashambuliwa km mpira wa kona,nenda kaanze kujenga foundation primary school
Duuuuh
 
Co wote mbona tupo wengi saana tusio na tabia hiyo
 
Ila hongera mwaya kwa kutoa elimu
Tukipata wanawake km ww 100 itakua vzr sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…