Super human
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 1,147
- 748
Super human asante kwa wazo zuri sana binafsi nimeafikiana nawe....ila mapenzi na ndoa siku hizi ni fasheni tu watu wanaoana ilimradi tu wameoana .... Ni wapenzi ili tu watimiziane haja zao (sex, money ) kwa hali ya sasa usitegemee kuwa watu watabadilika tena kwa tulipofikia Ndio inatisha zaidi Mungu tusaidie
Sijakata tamaa ila mapenzi siku hizi ni pasua kichwa .... Kwa asilimia 99.9Umeandika kama vile umekata tamaa. Mapenzi ya kweli bado yapo, ni bahati mbaya kama haujakutana nayo bado.
Sijakata tamaa ila mapenzi siku hizi ni pasua kichwa .... Kwa asilimia 99.9
We wasema mkuu ...Don't get twisted, love is a beautiful thing.
Go mi num ni Kuomba Mungu kk. ila impact za talaka zmekua kubwa mitaaniSuper human asante kwa wazo zuri sana binafsi nimeafikiana nawe....ila mapenzi na ndoa siku hizi ni fasheni tu watu wanaoana ilimradi tu wameoana .... Ni wapenzi ili tu watimiziane haja zao (sex, money ) kwa hali ya sasa usitegemee kuwa watu watabadilika tena kwa tulipofikia Ndio inatisha zaidi Mungu tusaidie
ila vice versa ukiangukia pabaya kkDon't get twisted, love is a beautiful thing.
No mapenzi ya kweli ndoa za mazoeaGo mi num ni Kuomba Mungu kk. ila impact za talaka zmekua kubwa mitaani
ila sasa tunafanyaje Mkuu? ili usiumie maana siku hizi movie ndo mpango mzmaNo mapenzi ya kweli ndoa za mazoea
Daa... Sahvi ni ngumu sana kutokuumizwa maana unaeza mpenda mtu kwa moyo wote kumbe yeye hakupendi anampenda bhoke na kuja kulijua hilo huchukua muda sana labda ushaumizwa ..... Kila aombae hupewa na naamini Mungu humjibu mtu kwa wakati wake tukimuomba kwa imani.... Tunaumizwa pale tunapojisahau Muombe sana Mungu akupe wa kufanana nae hutoumizwaila sasa tunafanyaje Mkuu? ili usiumie maana siku hizi movie ndo mpango mzma
Sure Mkuu cku iz hakuna upendo wa kwel bali kuna kupenda Mali, elimu, muonekano n.k wakati moja ya alichotaka vinapoisha inakua ni shda tupu. so kuomba ni muhm sana kkDaa... Sahvi ni ngumu sana kutokuumizwa maana unaeza mpenda mtu kwa moyo wote kumbe yeye hakupendi anampenda bhoke na kuja kulijua hilo huchukua muda sana labda ushaumizwa ..... Kila aombae hupewa na naamini Mungu humjibu mtu kwa wakati wake tukimuomba kwa imani.... Tunaumizwa pale tunapojisahau Muombe sana Mungu akupe wa kufanana nae hutoumizwa