Tuhuma za wanaharakati wa CHADEMA kupewa pesa na viongozi wa CCM zinaenda kukizamisha chama, Martin Maranja atajwa

sonofobia

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
922
3,530
Nanukuu alichoandika mjumbe wa bavicha, kamanda Faustine

"….. waraka wa Wazi kwa Martin Maranja Masese, MMM na Watu wote.

Mwenyekiti wetu wa Chadema Taifa (my role model) alipo ona opportunity ndogo ya kuketi na kuzungumza na Samia namna bora ya kuleta mabadiliko ya kimfumo na upatikanaji wa Katiba Mpya ali grab nafasi hiyo kwa mikono yake miwili, tena wakati huo mikono yake ikiwa bado mibichi haijapona majeraha yaliyosababishwa na Utawala wa Magufuli na Samia.

Alifanya hivyo kwakuwa anachokipigania na kukiamini ni KIKUBWA kuliko jambo lingine lolote na ali prove ule msemo wa Mwalimu Nyerere wakati akidai Uhuru aliposema.

“shetani akiungana nasi kumpinga mkoloni tutampokea alafu tukishinda ndio tumfukulizie mbali”

Alikuwa na maana we need everyone to the course and it is Greater than anything else there is na mchango wa yeyote ni mkubwa na wa Thamani.

mwanzoni wengi walimbeza na hawakukubaliana nae but he stood firm on what he believed and he had my back hadi pale alipoona wenzetu ni walaghai na nia yao ni OVU na hailengi kuleta mabadiliko bali kuchelewesha, ndiposa ali choose another path na sasa we’re working day and night kuhakikisha MAANDAMANO yanafanyika ili kutuma ujumbe kwa Watawala kwamba Tunataka Katiba Mpya na Mabadiliko ya kimfumo kwa maslai mapana na ustawi mkubwa wa watu wema wa Tanzania.

Sasa wewe unapoinuka na kuanza Kumshambulia Mange wa leo anaedai katiba mpya kama sisi, anaempinga na kumkosoa Samia kama sisi eti kwa kuwa kapiga picha na Samia mwaka jana unakuwa na maana gani?

Kwamba Mange akiparuana na Samia unaona bora umnyamazishe haraka ili asikae upande wa wananchi ili wewe na maovu ya your masters yasiwe exposed sio?

Unamshambulia kwa kufuta Post zote za Samia. well, mbona wewe umefuta post za kumkosoa PM majaliwa. Mbona humuiti tena Diblo Dibala, mbona humuiti tena Muongo wa Taifa tangu ununuliwe magari na kupangishiwa nyumba?

CAG, akikugua leo vyanzo vyako vya mapato are you sure your clean au na wewe ni sawa na Mafisadi wengine tunaopambana nao bila kuchoka kukomesha Uhuni katika Taifa letu? Umekuwa ukififisha sana harakati kwa kuanzisha vita ndogo ndgo za kushambulia watu hata wale wanaoinuka upande wetu kuongeza nguvu katika kupambana na mfumo dhalili wa CCM. Wewe unanufaika na nini tukiwa divided, is that what they’re paying you for?

Umekuwa ukishambulia watu kwenye magroup ya Chama na umekuwa umefikia hadi hatua ya Kukaa upande wa watesi kama juzi Soka alivyo tekwa bila aibu ulinyanyuka na kusema kajiteka.

Unadhani wewe ni special kuliko wengine, Kwamba mchango wako ni muhimu kuliko wengine na ni wewe tu unapaswa kuikosoa Serikali dhalili ya CCM na kusukuma gurudumu la kudai Katiba Mpya huku nyuma yako una “Hiden Agenda”

It’s time to expose you, nimekaa nikashindwa kuvumilia namna unatumia nembo ya Chama na ushawishi wako kufifisha kwa makusudi jitihada za watu walionuia mamoja kupigana na udhalili wa CCM. Pride yako imekuwa juu kuliko badge ya Chama, imekuwa juu kuliko Course tunayoipigania na ukinyamaziwa utaendelea kutumiwa Vibaya.

Umekuwa na tabia ya kuchagua viongozi wakuwashugulikia ili uitwe upoozwe mambo ya kihuni kabisa. Unatofauti gani na Bihemo na Zack? Wote mnalipwa na viongozi wa CCM mnapishana corridor tu.

Ulikuwa ukimshambulia Kipara mno humu, kila dakika rudisha umeme. We all liked that. Nikuulize sasa, bado ni waziri nini cha mno amefanya hadi sasa humuoni tena ni wazir mzigo? Asali sio

Mimi sina chuki na mnaonipigia simu na kunitumia meseji kwamba niache niwaambie jambo tusipoangaliana machoni tukaambiana “hard truth” tukabaki kuwachekea wanaotugawanya hakika CCM they’ll keep ruling. Nyie hamjachoshwa na madudu yao? Sasa kwanini mnataka tuendelee kuleana hata katika ujinga?

I love CHADEMA dearly, I love what I’m fighting for with all my heart na kamwe sitanyamazia Uovu hata ikinibidi kusimama mwenyewe.

Mmekuwa mkicheka sana Martin humu, mnadhani anavyoropoka Majizo anauza dawa za kulevya bila proof anakuwa na tofauti gani na makonda alieropoka Mbowe anauza Madawa?

We need to change
Fredrick M Justine
 
Nchi hii ukiona mtu anapiga kelele sana ujue kanyang'anywa tonge mdomoni au anataka akaribishwe meza ya chakula. Ukisikia mtu anasema maslahi ya umma na wananchi ujue anamaanisha familia yake ndio hao wananchi na umma anaouongelea

JPM alijua Mbowe ni political entrepreneur na alimshughulikia kihuni km alivyo mhuni
 
Wewe njoo x ukaangwe na mwenyewe Maranja
Martin kiukweli amejijengea umaarufu twitter kwa style yake ya kukaanga watu. Guess what? Hafanyi bure anaenda nyuma ya pazia kuchukua pesa. Kama ndio aina hii ya vijana tunaandaa kuwa mbadala wa CCM basi kazi ipo kubwa saaana kwenye hii nchi. Vijana wameanza ufisadi tangu wakiwa nje ya game 😅
 
Nchi hii ukiona mtu anapiga kelele sana ujue kanyang'anywa tonge mdomoni au anataka akaribishwe meza ya chakula. Ukisikia mtu anasema maslahi ya umma na wananchi ujue anamaanisha familia yake ndio hao wananchi na umma anaouongelea

JPM alijua Mbowe ni political entrepreneur na alimshughulikia kihuni km alivyo mhuni

Screenshot_20240410_071802_Chrome.jpg
 
Martin kiukweli amejijengea umaarufu twitter kwa style yake ya kukaanga watu. Guess what? Hafanyi bure anaenda nyuma ya pazia kuchukua pesa. Kama ndio aina hii ya vijana tunaandaa kuwa mbadala wa CCM basi kazi ipo kubwa saaana kwenye hii nchi. Vijana wameanza ufisadi tangu wakiwa nje ya game 😅
Same style aliitumia "Heavy Bweka" awamu ya Msoga ile and he ended up being multi millionaire.
 
Tunaposema Tanzania upinzani halisi hakuna bali kuna magenge ya wasakatonge kupitia siasa muwe mnatuelewa!
Wapinzani wa kweli wa CCM watatokea ndani ya. CCM yenyewe.
Kwa huu upuuzi wa upinzani wa kibongo Bongo hakuna kitu hapo.
 
Nanukuu alichoandika mjumbe wa bavicha, kamanda Faustine

"….. waraka wa Wazi kwa Martin Maranja Masese, MMM na Watu wote.

Mwenyekiti wetu wa Chadema Taifa (my role model) alipo ona opportunity ndogo ya kuketi na kuzungumza na Samia namna bora ya kuleta mabadiliko ya kimfumo na upatikanaji wa Katiba Mpya ali grab nafasi hiyo kwa mikono yake miwili, tena wakati huo mikono yake ikiwa bado mibichi haijapona majeraha yaliyosababishwa na Utawala wa Magufuli na Samia.

Alifanya hivyo kwakuwa anachokipigania na kukiamini ni KIKUBWA kuliko jambo lingine lolote na ali prove ule msemo wa Mwalimu Nyerere wakati akidai Uhuru aliposema.

“shetani akiungana nasi kumpinga mkoloni tutampokea alafu tukishinda ndio tumfukulizie mbali”

Alikuwa na maana we need everyone to the course and it is Greater than anything else there is na mchango wa yeyote ni mkubwa na wa Thamani.

mwanzoni wengi walimbeza na hawakukubaliana nae but he stood firm on what he believed and he had my back hadi pale alipoona wenzetu ni walaghai na nia yao ni OVU na hailengi kuleta mabadiliko bali kuchelewesha, ndiposa ali choose another path na sasa we’re working day and night kuhakikisha MAANDAMANO yanafanyika ili kutuma ujumbe kwa Watawala kwamba Tunataka Katiba Mpya na Mabadiliko ya kimfumo kwa maslai mapana na ustawi mkubwa wa watu wema wa Tanzania.

Sasa wewe unapoinuka na kuanza Kumshambulia Mange wa leo anaedai katiba mpya kama sisi, anaempinga na kumkosoa Samia kama sisi eti kwa kuwa kapiga picha na Samia mwaka jana unakuwa na maana gani?

Kwamba Mange akiparuana na Samia unaona bora umnyamazishe haraka ili asikae upande wa wananchi ili wewe na maovu ya your masters yasiwe exposed sio?

Unamshambulia kwa kufuta Post zote za Samia. well, mbona wewe umefuta post za kumkosoa PM majaliwa. Mbona humuiti tena Diblo Dibala, mbona humuiti tena Muongo wa Taifa tangu ununuliwe magari na kupangishiwa nyumba?

CAG, akikugua leo vyanzo vyako vya mapato are you sure your clean au na wewe ni sawa na Mafisadi wengine tunaopambana nao bila kuchoka kukomesha Uhuni katika Taifa letu? Umekuwa ukififisha sana harakati kwa kuanzisha vita ndogo ndgo za kushambulia watu hata wale wanaoinuka upande wetu kuongeza nguvu katika kupambana na mfumo dhalili wa CCM. Wewe unanufaika na nini tukiwa divided, is that what they’re paying you for?

Umekuwa ukishambulia watu kwenye magroup ya Chama na umekuwa umefikia hadi hatua ya Kukaa upande wa watesi kama juzi Soka alivyo tekwa bila aibu ulinyanyuka na kusema kajiteka.

Unadhani wewe ni special kuliko wengine, Kwamba mchango wako ni muhimu kuliko wengine na ni wewe tu unapaswa kuikosoa Serikali dhalili ya CCM na kusukuma gurudumu la kudai Katiba Mpya huku nyuma yako una “Hiden Agenda”

It’s time to expose you, nimekaa nikashindwa kuvumilia namna unatumia nembo ya Chama na ushawishi wako kufifisha kwa makusudi jitihada za watu walionuia mamoja kupigana na udhalili wa CCM. Pride yako imekuwa juu kuliko badge ya Chama, imekuwa juu kuliko Course tunayoipigania na ukinyamaziwa utaendelea kutumiwa Vibaya.

Umekuwa na tabia ya kuchagua viongozi wakuwashugulikia ili uitwe upoozwe mambo ya kihuni kabisa. Unatofauti gani na Bihemo na Zack? Wote mnalipwa na viongozi wa CCM mnapishana corridor tu.

Ulikuwa ukimshambulia Kipara mno humu, kila dakika rudisha umeme. We all liked that. Nikuulize sasa, bado ni waziri nini cha mno amefanya hadi sasa humuoni tena ni wazir mzigo? Asali sio

Mimi sina chuki na mnaonipigia simu na kunitumia meseji kwamba niache niwaambie jambo tusipoangaliana machoni tukaambiana “hard truth” tukabaki kuwachekea wanaotugawanya hakika CCM they’ll keep ruling. Nyie hamjachoshwa na madudu yao? Sasa kwanini mnataka tuendelee kuleana hata katika ujinga?

I love CHADEMA dearly, I love what I’m fighting for with all my heart na kamwe sitanyamazia Uovu hata ikinibidi kusimama mwenyewe.

Mmekuwa mkicheka sana Martin humu, mnadhani anavyoropoka Majizo anauza dawa za kulevya bila proof anakuwa na tofauti gani na makonda alieropoka Mbowe anauza Madawa?

We need to change
Fredrick M Justine
attach phone number plz🐒
 
Nchi hii ukiona mtu anapiga kelele sana ujue kanyang'anywa tonge mdomoni au anataka akaribishwe meza ya chakula. Ukisikia mtu anasema maslahi ya umma na wananchi ujue anamaanisha familia yake ndio hao wananchi na umma anaouongelea

JPM alijua Mbowe ni political entrepreneur na alimshughulikia kihuni km alivyo mhuni
Hakika,

Namkumbuka sana Julius Mtatiro, na yule aliyeitwa Tumbili..sasahv ni Machawa wa CCM
 
Nanukuu alichoandika mjumbe wa bavicha, kamanda Faustine

"….. waraka wa Wazi kwa Martin Maranja Masese, MMM na Watu wote.

Mwenyekiti wetu wa Chadema Taifa (my role model) alipo ona opportunity ndogo ya kuketi na kuzungumza na Samia namna bora ya kuleta mabadiliko ya kimfumo na upatikanaji wa Katiba Mpya ali grab nafasi hiyo kwa mikono yake miwili, tena wakati huo mikono yake ikiwa bado mibichi haijapona majeraha yaliyosababishwa na Utawala wa Magufuli na Samia.

Alifanya hivyo kwakuwa anachokipigania na kukiamini ni KIKUBWA kuliko jambo lingine lolote na ali prove ule msemo wa Mwalimu Nyerere wakati akidai Uhuru aliposema.

“shetani akiungana nasi kumpinga mkoloni tutampokea alafu tukishinda ndio tumfukulizie mbali”

Alikuwa na maana we need everyone to the course and it is Greater than anything else there is na mchango wa yeyote ni mkubwa na wa Thamani.

mwanzoni wengi walimbeza na hawakukubaliana nae but he stood firm on what he believed and he had my back hadi pale alipoona wenzetu ni walaghai na nia yao ni OVU na hailengi kuleta mabadiliko bali kuchelewesha, ndiposa ali choose another path na sasa we’re working day and night kuhakikisha MAANDAMANO yanafanyika ili kutuma ujumbe kwa Watawala kwamba Tunataka Katiba Mpya na Mabadiliko ya kimfumo kwa maslai mapana na ustawi mkubwa wa watu wema wa Tanzania.

Sasa wewe unapoinuka na kuanza Kumshambulia Mange wa leo anaedai katiba mpya kama sisi, anaempinga na kumkosoa Samia kama sisi eti kwa kuwa kapiga picha na Samia mwaka jana unakuwa na maana gani?

Kwamba Mange akiparuana na Samia unaona bora umnyamazishe haraka ili asikae upande wa wananchi ili wewe na maovu ya your masters yasiwe exposed sio?

Unamshambulia kwa kufuta Post zote za Samia. well, mbona wewe umefuta post za kumkosoa PM majaliwa. Mbona humuiti tena Diblo Dibala, mbona humuiti tena Muongo wa Taifa tangu ununuliwe magari na kupangishiwa nyumba?

CAG, akikugua leo vyanzo vyako vya mapato are you sure your clean au na wewe ni sawa na Mafisadi wengine tunaopambana nao bila kuchoka kukomesha Uhuni katika Taifa letu? Umekuwa ukififisha sana harakati kwa kuanzisha vita ndogo ndgo za kushambulia watu hata wale wanaoinuka upande wetu kuongeza nguvu katika kupambana na mfumo dhalili wa CCM. Wewe unanufaika na nini tukiwa divided, is that what they’re paying you for?

Umekuwa ukishambulia watu kwenye magroup ya Chama na umekuwa umefikia hadi hatua ya Kukaa upande wa watesi kama juzi Soka alivyo tekwa bila aibu ulinyanyuka na kusema kajiteka.

Unadhani wewe ni special kuliko wengine, Kwamba mchango wako ni muhimu kuliko wengine na ni wewe tu unapaswa kuikosoa Serikali dhalili ya CCM na kusukuma gurudumu la kudai Katiba Mpya huku nyuma yako una “Hiden Agenda”

It’s time to expose you, nimekaa nikashindwa kuvumilia namna unatumia nembo ya Chama na ushawishi wako kufifisha kwa makusudi jitihada za watu walionuia mamoja kupigana na udhalili wa CCM. Pride yako imekuwa juu kuliko badge ya Chama, imekuwa juu kuliko Course tunayoipigania na ukinyamaziwa utaendelea kutumiwa Vibaya.

Umekuwa na tabia ya kuchagua viongozi wakuwashugulikia ili uitwe upoozwe mambo ya kihuni kabisa. Unatofauti gani na Bihemo na Zack? Wote mnalipwa na viongozi wa CCM mnapishana corridor tu.

Ulikuwa ukimshambulia Kipara mno humu, kila dakika rudisha umeme. We all liked that. Nikuulize sasa, bado ni waziri nini cha mno amefanya hadi sasa humuoni tena ni wazir mzigo? Asali sio

Mimi sina chuki na mnaonipigia simu na kunitumia meseji kwamba niache niwaambie jambo tusipoangaliana machoni tukaambiana “hard truth” tukabaki kuwachekea wanaotugawanya hakika CCM they’ll keep ruling. Nyie hamjachoshwa na madudu yao? Sasa kwanini mnataka tuendelee kuleana hata katika ujinga?

I love CHADEMA dearly, I love what I’m fighting for with all my heart na kamwe sitanyamazia Uovu hata ikinibidi kusimama mwenyewe.

Mmekuwa mkicheka sana Martin humu, mnadhani anavyoropoka Majizo anauza dawa za kulevya bila proof anakuwa na tofauti gani na makonda alieropoka Mbowe anauza Madawa?

We need to change
Fredrick M Justine
Mara nyingi shetani huleta jambo zuri katikati ili kuwaondoa kwenye focus.

Hawa wanasiasa wa kiharakati siwabezi lakini ni mzigo.

Katiba Mpya ndo deal ya mjini.
Dj lete vituu
 
Tunaposema Tanzania upinzani halisi hakuna bali kuna magenge ya wasakatonge kupitia siasa muwe mnatuelewa!
Wapinzani wa kweli wa CCM watatokea ndani ya. CCM yenyewe.
Kwa huu upuuzi wa upinzani wa kibongo Bongo hakuna kitu hapo.
Toka Niko mtoto Hadi sasa nimekuwa mtu mzima nasikia hii porojo kuwa wapinzani wa kweli watatoka ccm, Cha ajabu hao wapinzani huko ndani ya ccm hawatokei, bali chawa ndio wanaongezeka!
 
Nanukuu alichoandika mjumbe wa bavicha, kamanda Faustine

"….. waraka wa Wazi kwa Martin Maranja Masese, MMM na Watu wote.

Mwenyekiti wetu wa Chadema Taifa (my role model) alipo ona opportunity ndogo ya kuketi na kuzungumza na Samia namna bora ya kuleta mabadiliko ya kimfumo na upatikanaji wa Katiba Mpya ali grab nafasi hiyo kwa mikono yake miwili, tena wakati huo mikono yake ikiwa bado mibichi haijapona majeraha yaliyosababishwa na Utawala wa Magufuli na Samia.

Alifanya hivyo kwakuwa anachokipigania na kukiamini ni KIKUBWA kuliko jambo lingine lolote na ali prove ule msemo wa Mwalimu Nyerere wakati akidai Uhuru aliposema.

“shetani akiungana nasi kumpinga mkoloni tutampokea alafu tukishinda ndio tumfukulizie mbali”

Alikuwa na maana we need everyone to the course and it is Greater than anything else there is na mchango wa yeyote ni mkubwa na wa Thamani.

mwanzoni wengi walimbeza na hawakukubaliana nae but he stood firm on what he believed and he had my back hadi pale alipoona wenzetu ni walaghai na nia yao ni OVU na hailengi kuleta mabadiliko bali kuchelewesha, ndiposa ali choose another path na sasa we’re working day and night kuhakikisha MAANDAMANO yanafanyika ili kutuma ujumbe kwa Watawala kwamba Tunataka Katiba Mpya na Mabadiliko ya kimfumo kwa maslai mapana na ustawi mkubwa wa watu wema wa Tanzania.

Sasa wewe unapoinuka na kuanza Kumshambulia Mange wa leo anaedai katiba mpya kama sisi, anaempinga na kumkosoa Samia kama sisi eti kwa kuwa kapiga picha na Samia mwaka jana unakuwa na maana gani?

Kwamba Mange akiparuana na Samia unaona bora umnyamazishe haraka ili asikae upande wa wananchi ili wewe na maovu ya your masters yasiwe exposed sio?

Unamshambulia kwa kufuta Post zote za Samia. well, mbona wewe umefuta post za kumkosoa PM majaliwa. Mbona humuiti tena Diblo Dibala, mbona humuiti tena Muongo wa Taifa tangu ununuliwe magari na kupangishiwa nyumba?

CAG, akikugua leo vyanzo vyako vya mapato are you sure your clean au na wewe ni sawa na Mafisadi wengine tunaopambana nao bila kuchoka kukomesha Uhuni katika Taifa letu? Umekuwa ukififisha sana harakati kwa kuanzisha vita ndogo ndgo za kushambulia watu hata wale wanaoinuka upande wetu kuongeza nguvu katika kupambana na mfumo dhalili wa CCM. Wewe unanufaika na nini tukiwa divided, is that what they’re paying you for?

Umekuwa ukishambulia watu kwenye magroup ya Chama na umekuwa umefikia hadi hatua ya Kukaa upande wa watesi kama juzi Soka alivyo tekwa bila aibu ulinyanyuka na kusema kajiteka.

Unadhani wewe ni special kuliko wengine, Kwamba mchango wako ni muhimu kuliko wengine na ni wewe tu unapaswa kuikosoa Serikali dhalili ya CCM na kusukuma gurudumu la kudai Katiba Mpya huku nyuma yako una “Hiden Agenda”

It’s time to expose you, nimekaa nikashindwa kuvumilia namna unatumia nembo ya Chama na ushawishi wako kufifisha kwa makusudi jitihada za watu walionuia mamoja kupigana na udhalili wa CCM. Pride yako imekuwa juu kuliko badge ya Chama, imekuwa juu kuliko Course tunayoipigania na ukinyamaziwa utaendelea kutumiwa Vibaya.

Umekuwa na tabia ya kuchagua viongozi wakuwashugulikia ili uitwe upoozwe mambo ya kihuni kabisa. Unatofauti gani na Bihemo na Zack? Wote mnalipwa na viongozi wa CCM mnapishana corridor tu.

Ulikuwa ukimshambulia Kipara mno humu, kila dakika rudisha umeme. We all liked that. Nikuulize sasa, bado ni waziri nini cha mno amefanya hadi sasa humuoni tena ni wazir mzigo? Asali sio

Mimi sina chuki na mnaonipigia simu na kunitumia meseji kwamba niache niwaambie jambo tusipoangaliana machoni tukaambiana “hard truth” tukabaki kuwachekea wanaotugawanya hakika CCM they’ll keep ruling. Nyie hamjachoshwa na madudu yao? Sasa kwanini mnataka tuendelee kuleana hata katika ujinga?

I love CHADEMA dearly, I love what I’m fighting for with all my heart na kamwe sitanyamazia Uovu hata ikinibidi kusimama mwenyewe.

Mmekuwa mkicheka sana Martin humu, mnadhani anavyoropoka Majizo anauza dawa za kulevya bila proof anakuwa na tofauti gani na makonda alieropoka Mbowe anauza Madawa?

We need to change
Fredrick M Justine
Umeandika ujinga
 
Ni kweli hakuna mkate mgumu kwenye chai. Kuhusu wapinzani kupewa hela nasema ni suala la wakati tu, HAKUNA mwanasiasa au MWANAHARAKATI wa kukataa fedha. Mbowe ndiyo kazi yake anapokea anauza gemu hata Mbatia ndiyo maisha yake miaka yote.

Hata wewe Fredie Justine utafika bei tu kama Martin Maranja Masese. Ongeza juhudi za harakati zako na ufahamike. Kila mmoja anatafuta fedha kwa njia yeyote iwe halali au haramu, fedha ni fedha tu.

Kama unaishi kutegemea Mbowe au Lissu au Martin Maranja Masese akuletee maendeleo, UNAPOTEZA muda. Fanya kazi tafuta pesa, WANASIASA wako kutafuta pesa tu
 
Back
Top Bottom