Tuhuma dhidi NSSF: Uongozi kukaa kimya maana yake nini

Tusiwalaumu sana wapigaji wa haya madili bali wa kulaumiwa ni Kikwete kwa kutowajibika kama rais wa nchi ambaye vyombo vyote vya ulinzi na usalama ulikuwa chini yake. Kama ingewezekana kinga ya kutoshitakiwa rais ingefutwa na ye afikishwe mahakamani.

Pia sheria zetu za uhujumu uchumi irekebishwe ili iweze kutoa adhabu kali kwa wahusisika otherwise we will stay in this commotion forever!
Angewajibika wakati gani wakati muda mwingi alikuwa nje ya nchi?
Miaka ya JK ilikuwa tupo kwenye autopilot.
 
Tusiwalaumu sana wapigaji wa haya madili bali wa kulaumiwa ni Kikwete kwa kutowajibika kama rais wa nchi ambaye vyombo vyote vya ulinzi na usalama ulikuwa chini yake. Kama ingewezekana kinga ya kutoshitakiwa rais ingefutwa na ye afikishwe mahakamani.

Pia sheria zetu za uhujumu uchumi irekebishwe ili iweze kutoa adhabu kali kwa wahusisika otherwise we will stay in this commotion forever!
Natamani sana nae abebe ndo yake!
 
baada ya kuwahoji wanashikilia passport zao lakini? maana hela kubwa kiasi hiko haikai hapa Kariakoo.

inafichwa huko....Panama.
 
Kuna habari kuwa hawa wakurugenzi wa NSSF nao wamehojiwa na TAKUKURU kutokana na tuhuma za ubadhirifu na rushwa.

Magori ambaye ni Director wa Operations anatuhumiwa kuwa alipokea mabilioni toka kwa makampuni ya madini huko Geita wakati Eunice anatuhumiwa kupokea pesa kutoka makampuni mbali mbali za matangazo, staff uniforms na kahusishwa na kampuni ya MARIEDO BOUTIQUE. Eunice pia anatuhumiwa kupokea pesa za kuwapatia kazi watu waliooomba kazi NSSF.

Chanzo: Mwanahalisi Online

My friend hakuna namna magori na chiume wahojiwe kwa kifisadi Nssf,hii ni kutaka kujibu mapigo ya dau kuhojiwa TAKUKURU,kwa taarifa tu ni kuwa hakuna manguli wa wizi Nssf watakaowazidi dau,msemo,MSELI,kidula na matesa.take it from me come July watakuwa lupango,kick ya kumuingiza magori kwenye kashfa ni upoyoyo na unyangao
 
Na pesa nyingine wamehonga wahariri WA tef Ili habari Kama hizi zisitoke magazetini. Ukweli si huo umeanza kutoka...... Shame on Kitwana kuwafanya Tef vikaragosi. Una amani Na Mali zako za rushwa!
Ndio maana wahariri wengi...ni kama wamemwagiwa barafu.
 
Mkuu JK angeyafanya yeye haya maisha yake yangekuwa magumu kuliko rais yeyote Duniani katumia akili sana JK kumpa kijiti JPM ili washikane uchawi wenyewe kwa wenyewe hii nchi ni shiiida!!
Una uhakika chaguo la jk lilikua magu? Acha uzombie
 
Kuna habari kuwa hawa wakurugenzi wa NSSF nao wamehojiwa na TAKUKURU kutokana na tuhuma za ubadhirifu na rushwa.

Magori ambaye ni Director wa Operations anatuhumiwa kuwa alipokea mabilioni toka kwa makampuni ya madini huko Geita wakati Eunice anatuhumiwa kupokea pesa kutoka makampuni mbali mbali za matangazo, staff uniforms na kahusishwa na kampuni ya MARIEDO BOUTIQUE. Eunice pia anatuhumiwa kupokea pesa za kuwapatia kazi watu waliooomba kazi NSSF.

Chanzo: Mwanahalisi Online
cc. @ISIS is CIA Pita huku mkuu naona PCCB wamekusoma
 
My friend hakuna namna magori na chiume wahojiwe kwa kifisadi Nssf,hii ni kutaka kujibu mapigo ya dau kuhojiwa TAKUKURU,kwa taarifa tu ni kuwa hakuna manguli wa wizi Nssf watakaowazidi dau,msemo,MSELI,kidula na matesa.take it from me come July watakuwa lupango,kick ya kumuingiza magori kwenye kashfa ni upoyoyo na unyangao[/QUOTE
mwambie ajiandae hii serikali ni ya JPM kama amekula hata Sh.100 ataitapika.
 
Hii move ya NSSF kila ninapoisoma naona kama nipo ndotoni vile, yaani moyo wangu napata pressure kila ninapoona vijana mna data za jinsi nchi ilivyokuwa inaliwa na wachache na huku wengine maisha magumu hadi napata kiwewe. Solution ya NSSF ni kuwatimua wakurugenzi wote na ku recruit wapya. Hamna namna
 
Back
Top Bottom