Tufanye bidii ili tukwepane na njaa

kanyela mumo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
2,034
2,115
Neno Njaa..

Njaa ni kama kukata hivi, hasa kwa kitu chenye makali.. Ukiwa na njaa, tumbo linakata kata mpaka kuperekea maumivu mkali, unaweza usilale mpaka kuna pambazuka. Hivyo neno njaa ni korofi sana. Kwa wenye familia tupambane sana, tukubali kutumika zaidi ya tutakavyo, ili wake na watoto zetu wasikutane na maumivu haya makali ya njaa.

Tufanye kazi kwa bidii na kukilinda kile kinachopatikana kwa maslah ya familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…