Naona tumeshindwa kabisa kuheshimu pesa zetu hasa za noti. Unakuta mtu anaikunjakunja noti kiasi kwamba akukipa unashindwa elewa hela imetoka wapi? Ikifika kwa muuza mkaa ndo kabisa inazidi kuchakaa, tuelimishane jinsi ya kutunza pesa zetu na kuithamini pesa yetu Tanzania. Mwenye wazo mbadala la kuweza weka pesa yetu ktk hali nzur atupe elimu. Mtazamo wangu tu lakini?