TUCTA, kwanini msiende mahakamani kupinga makato ya HESLB ya asilimia 15 ya mshahara ghafi?

Alafu tunaambiwa hii ni serikali ya wanyonge!!!!
Ngoja aje Lizaboni asifu kwa jins serikali yake inavyofanya kazi. Watu tukiongea hooo Ukawa mtakoma mwaka huu. Wanafikiri kila mtu anayeikosoa hii serikali ni UKAWA.
NAONA WANGEWEKA 25% ILI TUHESHIMIANE VIZURI SBB SIKU HIZ WANAONA MTU YYTE ANAYELALAMIKA NI MPIGA DILI TULIZOEA VYA BURE.
NGOJA TUFANYE KAZI KM TUNAVYOAMBIWA.
HAPA KAZI TU
 
Kimsingi hii Nchi inakoelekea sijui nani anae jua? Maana Watu wengi waliamua kujitwisha mzigo mgumu wa Mikopo kwa Maana ya kukubari kukatwa 08% Ambayo walaji na serikali sikivu walikubaliana kulipana mpaka deni liishe....Sasa Leo mwaka mmoja baada ya awamu ya 5 kuingia Tunaanza kuumizwa namna hii kimsingi Wanufaika wa Mikopo waliokopeshwa kuanzia 2015 kurudi nyuma hii sheria haiwahusu maana hawakuisaini walipokua wanakopeshwa....TUCTA lazima ikimbie haraka sana mahakamani km watumishi watakatwa hii 15% ambao sheria inakataa....Nimatumaini yetu Mahakama itatenda haki maana 15% kwa mtumishi ni kumtia umaskini na kumdumaza mtumishi tutegemee machungu zaidi....

mlisoma hiyo mikataba ya mkopo?

mkataba huo unamruhusu mkopeshaji kupandisha rate ya mkopo kadri atakavyoona inafaa kutokana na mazingira ya wakati huo

anachopaswa ni kukujulisha tu
 
Kuna document(inaonekani ni ya Bodi ya Mikopo) inatembea mitandaoni ikiwataka waajiri kuanza kukata makato ya asilimia 15 ya mshara ghafi(basi salary) wanafaika wa mikopo ya bodi hiyo.

Barua hiyo ya tarehe 09/01/2017 ambayo iko addressed kwa mwajiri fulani(sitamtaja hapa), inamtaka anze kutekeza agizo hilo kukata asilimia 15 ya mshara kwa wadaiwa wapya pamoja na wale ambao walikuwa tayari wanakatwa asilimia 8(kwa mujibu wa sheria ya zamani)

TUCTA,katika hili wako wafanyakazi wengi tu wataumia.Sasa nyinyi kama watetezi wa wafanyakazi,kwanini msiende mahakamani kupinga sheria hii kutumika hata kwa wale waliokuwa na mkataba wa kukatwa asilimia 8?

Mbali na TUCTA, hata wanasiasa na wanaharakati wengine mnapaswa kusaidia katika hili kwani mtumishi wa umma na hata yule wa sekta binafsi teyari wana mlolongo mkubwa mno wa makato kwenye mishahara yao.

Ndio maana wengine hatuungi kabisa mkono ununuzi wa ndege kwa fedha taslimu katika mazingira ya aina hii.
Mtoa post huna Akili kabisa, wewe ni zezeta la Mbowe, wewe ni kunguni, wewe ni chawa wa kwny mavu kabisa, Hizo zetu zitarudi lini ili watoto wakope nao!!
 
Kwa hali hii sijui vijana tunaohitimu vyuoni kama tutanunua hata kitanda tu.
Mfano nafanya kazi kwa mhindi, basic salary ni tshs 800,000
Kodi 10% = 80,000/=
Nssf 11% = 88,000/=
Board 15% = 120,000/=

Take home tshs 512,000

Mahitaji binafsi
1. Kodi ya nyumba 50,000/= per month
2. Nauli 1200/= per day = 36,000/= per month
3. Umeme 10,000/= per week = 40,000/= per month
4. Maji 4000/= per month
5. Kula 5000/= per day = 150,000/=

Roughly budget, sijui kama vijana tutatoboa kwa mishahara hii ya wahindi
Shauri yako kwann ulikopa?
 
Tatizo umskini, huwezi pandisha bila kuangalia kipato cha wahuska. Bora wangekata kwa kuangalia mshahara wa mhusika
 
Mtoa post huna Akili kabisa, wewe ni zezeta la Mbowe, wewe ni kunguni, wewe ni chawa wa kwny mavu kabisa, Hizo zetu zitarudi lini ili watoto wakope nao!!
Hivi unajua unachokiongea aisee? Hebu weka siasa pembeni tupo serious tafadhari
 
Ndomaana wengine haujiungi na hivi vyama sijui vya wanini nini! Havina msaana kwa wanachama wao zaidi ya kupiga hela za watu
 
Mimi binafsi nipo tayari kujoin movement itakayoanzishwa kupinga hili. Haiwezekani niwe naburuzwa tu wakati mkataba wangu na HESLB uko wazi juu ya makato
 
Kwa hali hii sijui vijana tunaohitimu vyuoni kama tutanunua hata kitanda tu.
Mfano nafanya kazi kwa mhindi, basic salary ni tshs 800,000
Kodi 10% = 80,000/=
Nssf 11% = 88,000/=
Board 15% = 120,000/=

Take home tshs 512,000

Mahitaji binafsi
1. Kodi ya nyumba 50,000/= per month
2. Nauli 1200/= per day = 36,000/= per month
3. Umeme 10,000/= per week = 40,000/= per month
4. Maji 4000/= per month
5. Kula 5000/= per day = 150,000/=

Roughly budget, sijui kama vijana tutatoboa kwa mishahara hii ya wahindi
Ujumbe hapa ni kuwa nenda kajiajiri ili upeleke hiyo laki moja kwa mwezi
 
Tume huru ya uchaguzi Tanzania idaiwe sana sana ili kufanya mabadiliko ya chama na utawala huu. Vinginevyo watanzania watanyonywa na kukandamizwa.
Tuungane kwa dhati kabisa ccm itoke nawaambieni.
 
Kuna document(inaonekani ni ya Bodi ya Mikopo) inatembea mitandaoni ikiwataka waajiri kuanza kukata makato ya asilimia 15 ya mshara ghafi(basi salary) wanafaika wa mikopo ya bodi hiyo.

Barua hiyo ya tarehe 09/01/2017 ambayo iko addressed kwa mwajiri fulani(sitamtaja hapa), inamtaka anze kutekeza agizo hilo kukata asilimia 15 ya mshara kwa wadaiwa wapya pamoja na wale ambao walikuwa tayari wanakatwa asilimia 8(kwa mujibu wa sheria ya zamani)

TUCTA,katika hili wako wafanyakazi wengi tu wataumia.Sasa nyinyi kama watetezi wa wafanyakazi,kwanini msiende mahakamani kupinga sheria hii kutumika hata kwa wale waliokuwa na mkataba wa kukatwa asilimia 8?

Mbali na TUCTA, hata wanasiasa na wanaharakati wengine mnapaswa kusaidia katika hili kwani mtumishi wa umma na hata yule wa sekta binafsi teyari wana mlolongo mkubwa mno wa makato kwenye mishahara yao.

Ndio maana wengine hatuungi kabisa mkono ununuzi wa ndege kwa fedha taslimu katika mazingira ya aina hii.

Kwani ni mwakilishi wa waliokopa? La maana wakopaji wajiunde kwenye umoja wao kutetea maslahi yao.
 
Kuitegemea TUCTA ni kupoteza muda.. TUCTA ni mradi wa wachache wa kula 2% ya wafanyakazi, siioni ikisimamia malengo.. sijui ni lini TUCTA imewahi kuwa msaada kwa wafanyakazi
 
Back
Top Bottom