zebanga watelanga
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 862
- 398
Shamba Lipo Tanga pongwe panapojengwa mji mpya. Heka nne (4) inatakiwa kubadilishana na Noah namba D new medel au noah vox (sio old model)
Sifa za shamba.kilometer mbili na nusu toka main road ndio kuna jengwa mji mpya
Shamba ardhi yake inakubali kila kitu, nazi, michungwa, miembe, mahindi, mihogo na maharage
0712690760
Habari za Leo!Shamba Lipo Tanga pongwe panapojengwa mji mpya. Heka nne (4) inatakiwa kubadilishana na Noah namba D new medel au noah vox (sio old model)
Sifa za shamba
kilometer mbili na nusu toka main road ndio kuna jengwa mji mpya
Shamba ardhi yake inakubali kila kitu, nazi, michungwa, miembe, mahindi, mihogo na maharage
0712690760
Habari za Leo!
Mji mpya pongwe unajengwa sehemu gani?Je shamba lina hati na mimea au ni pori tu.Mimi nina noah ya 2007 mtu 5,nimeingiza nov 2015,Haijaendeshwa zaidi ya kutolewa bandarini Dar na imefungiwa gereji ndani ya nyumba hapo hapo Dar.Ushuru walinigonga sana,hivyo nimeamua niiweke nitulie wakati nafanya mambo mengine.Kama upo kikazi ni jibu maswali yangu halafu nione kama tunaweza kufanya barter trade.
Hapa hata wajipange vipi hawana uwezo wa kuzuia rai ya kubadilishana bidhaa.Alishindwa Mkoloni na wameshindwa nchi zenye TAX CODES za kueleweka.Hii ni asili toka enzi ya mababu ndugu yangu.Watusubiri huko huko kwenye magari,mishahara na biashara zote zinazofanyika kwa miamala fedha cash,hundi ,digitali au kieletroniki.Walinipagawisha ushuru wa gari yaani ulizidi bei ya manunuzi ,usafiri na bima ya kusafirishia.Yaani ni bongo yetu tu, ushuru wa mali unazidi bei ya manunuzi zaidi ya mara asilimia 300,tena hapo lilikuwa halijafikisha miaka kumi.Barter trade!!!! Sijui nchi hii tunaelekea wapi? Halafu barter trade zinashika kasi sana nowadays!!!! Zipo za mahindi kwa mbuzi, mahindi Kwa ng'ombe, nyumba kwa gari, sukari kwa kitenge, sabuni kwa ngano!!!!! Hatareee!!!!nk. TRA jipangeni barter trade inashika kasi!!!!
Hela hakuna sasa si inabidi watu wafanye barter trade.Barter trade!!!! Sijui nchi hii tunaelekea wapi? Halafu barter trade zinashika kasi sana nowadays!!!! Zipo za mahindi kwa mbuzi, mahindi Kwa ng'ombe, nyumba kwa gari, sukari kwa kitenge, sabuni kwa ngano!!!!! Hatareee!!!!nk. TRA jipangeni barter trade inashika kasi!!!!
Kila la kheri na Noah,tii sheria za barabarani bila ya shuruti.Asanten sana wachangiaji nawakosoaji nashukuru sana biashara imesha fungwa( Bila kusahau kimfahacho mtu chake)
wazee wa matamko hawakawii kuja na kusema aina hii ya biashara(tunaipiga marufuku?)Hapa hata wajipange vipi hawana uwezo wa kuzuia rai ya kubadilishana bidhaa.Alishindwa Mkoloni na wameshindwa nchi zenye TAX CODES za kueleweka.Hii ni asili toka enzi ya mababu ndugu yangu.Watusubiri huko huko kwenye magari,mishahara na biashara zote zinazofanyika kwa miamala fedha cash,hundi ,digitali au kieletroniki.Walinipagawisha ushuru wa gari yaani ulizidi bei ya manunuzi ,usafiri na bima ya kusafirishia.Yaani ni bongo yetu tu, ushuru wa mali unazidi bei ya manunuzi zaidi ya mara asilimia 300,tena hapo lilikuwa halijafikisha miaka kumi.
Asanten sana wachangiaji nawakosoaji nashukuru sana biashara imesha fungwa( Bila kusahau kimfahacho mtu chake)