Prosper C Manasse
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 635
- 690
Niache Na Upumbavu Wangu Nawe Ishi Na Welevu Wako.Unaonekana we ni mtu mzima lakini umeuliza swali la kipumbavu kabisa..
Kivipi Ebu Eleza Nijue Ndugu Tunatofautiana Uelewa, Naomba Unieleze Ningeuliza Swali Gani Au Ningeulizaje?Uliuliza swali lisilo na mashiko braza
Ukisoma Huo Uzi Utanielewa Vizuri Ndugu.Mimi niliposoma nilidhani unashauri zifungwe nyumba zote za ibada ambazo zimefunguliwa kiholela katikati ya makazi ya watu ambazo haziendani na jinsi nyumba hizo zilivyopangiwa katika mipango ya miji husika. Mfano ni huko Mbezi beach jamaa ameamua kuanzisha KANISA nyumbani kwake sehemu ambayo haikutengwa kwa shuhuri hiyo hivyo kuwa kero kwa majirani!!
Napenda Mtu Anayejibu Swali Kama Wewe Bila Kujali Umenipinga Au Kunikubalia Kuliko Yule Anayekuja Na Matusi, Dharau Na Maneno Yasiyo Maana.Kwa nini siku 30 Polisi itangazwe rasmi kwenye vyombo vya habari wana likizo ya Massa 24 nchi nzima ndio utajua umuhimu wao
Sawa Lakn Hujajibu Swali Mkuu.Jeshi la polisi limijikita sana katika kufinya haki za raia.Kuna rushwa ya kukithiri pale.Jana tu tumetoka kusikia kuwa inawezekana Said Mwema alikuwa na mgomgano wa kimaslahi katika kutoa tenda kwa Lugumi.Hawa askari wa chini nao ni rushwa kwenda mbele.Lifutwe tu jeshi la polisi.
Swali lako halina jibu.Umejaribu kulinganisha vitu viwli tofauti.You are trying to compare apples and oranges.Sawa Lakn Hujajibu Swali Mkuu.
Likiishafutwa tuandike nini???Jeshi la polisi limijikita sana katika kufinya haki za raia.Kuna rushwa ya kukithiri pale.Jana tu tumetoka kusikia kuwa inawezekana Said Mwema alikuwa na mgomgano wa kimaslahi katika kutoa tenda kwa Lugumi.Hawa askari wa chini nao ni rushwa kwenda mbele.Lifutwe tu jeshi la polisi.
Nafikiri Hujaelewa Mantiki Yangu.Swali lako halina jibu.Umejaribu kulinganisha vitu viwli tofauti.You are trying to compare apples and oranges.
Mbona kuna maeneo mengi tu hayana vituo vya polisi na wala hatusikii wakiwahitaji.
Watu wanaibiwa na kufanyiwa vurugu ila wanapiga kimya tu hata kama kituo cha polisi kiko jirani, watu hawataki usumbufu.Lakn Wanategemea Vya Jirani Na Uhalifu Hauko Juu.