Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,532
Rostam Aziz alisema kupitia gazeti wakati wa kashfa ya kuilipa Dowans,kampuni zake ninaingiza zaidi ya dola 140 kwa miezi minne.
Kama ni ubillionaire wa mali na roho ni mzee Mengi
Dollar 140 kwa miezi minne!!!????, hakuwa na sababu ya kujitangaza basi, au UMASKINI wake ndo ulo mtuma kufanya hivyo!!!