Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 92,386
- 112,023
Acha kutumia zilipendwa ndugu.
Jambo lolote akiwekwa kada wa CCM ni majanga tupu.Ndio maana hawachukua muda kutafuta chanzo na suluhisho la matatizo ya wateja. Usikute huko shirikani hakuna wanachokifanya zaidi ya kulia wanahujumiwa.
MAJUNGU HAYASAIDII NA CEO ANA USHIRIKIANO KWELI NA WAFANYAKAZI NA WANAMKUBALIbrother majungu ayasaidii, acha CEO kijana afanye kazi tumeona mengi amefanya kwa jamii tumeyaona. sisi tulijkua kampuni imekufa kuja kwake imekuwa mkombozi.
Hapo kwenye TTCL naomba niunge mkono bado huduma zao si nzuri, tena hawajipanui kwa kasi katika ulimwengu huu wa ushindani, kwa mfano Arusha ukitoka km 10 mtandao hakuna na hata mjini kuna maeneo mtandao nj shida. Wahudum wengi ni wale wa zamani, ambao wanafanyakazi kwa mazoea, ningemwomba Rais aliangalie kwa makini sana hasa menejimenti yake, Mkurugenzi na Meneja wa masoko. Tafadhali sana maana ndio Shirika la Umma.
kaka kila unapokwenda lazima utatumia huduma za TTCL either direct or indirect. ukienda kudraw pessa kwenye ATM's machine ni TTCL wanawezesha huduma hiyo, ukilipia kodi TRA kwa njia ya kielectronic ni TTCL wamefanikisha, TTCL imefanikisha digital financial services. TTCL wanauza intarnet katika ukanda huu wa afrika mashariki kupitia kituo chake IP PoP, today unaenjoy speed of internet and affordability ni TTCL amefanikisha. tuache majungu let's work together to make this coampy profitable and sustainable.Acha kutumia zilipendwa ndugu.
Sawa directorkaka kila unapokwenda lazima utatumia huduma za TTCL either direct or indirect. ukienda kudraw pessa kwenye ATM's machine ni TTCL wanawezesha huduma hiyo, ukilipia kodi TRA kwa njia ya kielectronic ni TTCL wamefanikisha, TTCL imefanikisha digital financial services. TTCL wanauza intarnet katika ukanda huu wa afrika mashariki kupitia kituo chake IP PoP, today unaenjoy speed of internet and affordability ni TTCL amefanikisha. tuache majungu let's work together to make this coampy profitable and sustainable.
Kweli Magu ajulishwe. Huyu jamaa anachemka
sorry who is Dr Kamuzora??? jamaa hata hujui viongozi any way, kwa msaada mm ni mdau wa TTCL na mteja wa siku nyingi sana wa huduma zao na kipindi kile wanatumia technology ya copper. CEO anacapacity kubwa katika business muda ukifika utapiga makofi na cheers kubwa. Mimi navyofahamu hata Mhe Rais alipongia madarakani kuna vitu vilianzishwa enzi ya Mwalimu, Mwinyi, JK, Mkapa. kwa hiyo hoja yako ya CEO kutumia technical strategies is weak. Hata huyo uliyemtaja wakati anaingia madarakani alitumia strategies za mtangulizi wake. hivyo, ceo kijana anachofanya ku-modify hizo strategy ziweze kwendana na wakati, na ubora zaidi.sasa wanafukuza mtaaramu wanamuweka kada hasiyejua kitu unategemeanini? ata hizi technics strategies za market penetration aliziacha Dr kamuzora. Dr kapata kazi yake nzuri EAC. wacha tuendelee kufanya kazi za professional kwa ukada wa chama. mtu hajui kitu eti kwasababu ni kada unampatia shirika linaloitaji uwezo wa kitaalam kuliendesha. ndio maana hatuendelei .
Wewe ndio uache majungu. Jamaa hajui anafanya nini. 4G 4G Kwa uwezo gani? Mvua ikinyesha hata manyunyu wiki nzima hakuna Internetbrother majungu ayasaidii, acha CEO kijana afanye kazi tumeona mengi amefanya kwa jamii tumeyaona. sisi tulijkua kampuni imekufa kuja kwake imekuwa mkombozi.
brother majungu ayasaidii, acha CEO kijana afanye kazi tumeona mengi amefanya kwa jamii tumeyaona. sisi tulijkua kampuni imekufa kuja kwake imekuwa mkombozi.
Wewe unakuja kupiga promo na propaganda kwenye vitu vya msingi. Au ndio kulinda ugali? Ukweli ni kwamba TTCL ni hovyo. Itahitaji overhaul. Huduma mbovu miundombinu ya miaka 47 Karne hii wapi na wapi? Rudin Rudini mkajipange upyasorry who is Dr Kamuzora??? jamaa hata hujui viongozi any way, kwa msaada mm ni mdau wa TTCL na mteja wa siku nyingi sana wa huduma zao na kipindi kile wanatumia technology ya copper. CEO anacapacity kubwa katika business muda ukifika utapiga makofi na cheers kubwa. Mimi navyofahamu hata Mhe Rais alipongia madarakani kuna vitu vilianzishwa enzi ya Mwalimu, Mwinyi, JK, Mkapa. kwa hiyo hoja yako ya CEO kutumia technical strategies is weak. Hata huyo uliyemtaja wakati anaingia madarakani alitumia strategies za mtangulizi wake. hivyo, ceo kijana anachofanya ku-modify hizo strategy ziweze kwendana na wakati, na ubora zaidi.