SDG
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 7,631
- 8,072
Kweli wameirusha ndege yao kubwa kabisa kwa majaribio [HASHTAG]#C919[/HASHTAG].habari za kutia matumaini ni kwamba China imerusha ndege yao mpya kwa mara ya kwanza leo. cc Aljazeera English (nimekuta habari ya tv inaishiria ishiria: nimeambulia caption: "First China Domestic jet takes off" ). [HASHTAG]#uzuri[/HASHTAG] wote hawa ni marafiki zetu tutafuata nyayo zao, nina imani na Tanzania yangu