Treni mpya(Deluxe) yapata ajali Ruvu mkoani Pwani ikitokea Kigoma

Poleni wote, ngoja tupate updates ya ajali na kuangalia changamoto hii itakabiliwa vipi na serikali ya awamu ya tano maana naamini kila awamu ilipata majaribio.
 
Kuna Ajari Ya Treni Maeneo ya Ruvu Now. Mabehewa zaid ya Kumi ya Abiria yapo down. Vifo na majeruhi hawajulikan ...source Clouds radio
ec7c760a457d09709fce0b20ef4925d2.jpg
 
Huyu malaika kaja na gundu,mabalaa yanatuandama kama nchi
Ignorant people like you are supposed to be ignored,bad lucky is with you wid your parents who brought you in this world hence they failed to give you good care,then you are to send your discontent to them ,my brother take care,blames wont save you from life harddship,only hard working will.
 
Poleni wote, ngoja tupate updates ya ajali na kuangalia changamoto hii itakabiliwa vipi na serikali ya awamu ya tano maana naamini kila awamu ilipata majaribio.
Hapo ni mwendo wa kuinua mabehewa yao na kusepa nayo raia watajijua wenyewe coz wakati wa kampeni haku ahidi ajali ya treni,OVER
 
Huyu malaika kaja na gundu,mabalaa yanatuandama kama nchi
Malaika gani tena huyu unayemsemea! Poleni majeruhi, poleni watz wenzangu kwa hasara hii tuliyoipata kama taifa…gharama za kutibu watu wetu, matengenezo ya reli na treni, na muda!
 
Back
Top Bottom