Musa Kadiko
Member
- Jun 15, 2022
- 16
- 18
Shirika la Reli Tanzania - TRC na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani - WFP limepokea taarifa ya utafiti wa usafirishaji wa mazao ya mbogamboga na matunda kwa njia ya reli kutoka katika Kampuni ya Innovex Development Consultant Limited kwenye kikao kifupi kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano uliopo makao makuu ya TRC jijini Dar es Salaam Machi 02, 2023.