Trace Tv ya Ufaransa na MTV Base Africa, which is which?

youngdonats18

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
685
443
Nduguz me naomba kuuliza then nijue juu la hili swala kwamba kati ya Trace Tv na Mtv base ipi ni stronger than the other , and most influencial ktk kumfanya msanii kuwa famous kwa haraka pale apatapo airtym ktk kituo husika, coz huwa km celew kila siku mara fulan kapokelewa na kituo kikubwa cha Tv"TraceTv" afu huku Mtv hatuoñani , cjui trace iko cheap ama vepee, lemme kno'
 
Trace tv wana branch nigeria ndo maana hata cku izi zinapigwa sana nyimbo za africa ila zaman wakati ipo ufaransa nyimbo za africa zilikuwa hazionekani kabisa mara moja kwa cku au wiki a.y ndo alikuwa msanii wa kwanza wa tz nyimbo yke party kupigwa trace tv (france) then akafata diamond number one og version hawa naona ndo waliplay role kubwa kwa diamond kutambulika kiaina before remix kufanywa ndipo channel O na mtv base wakaanza kuipiga sana

Mtv makao yao yapo marekani ila wana branch zao sehemu nyingi hadi asia na southern america so imefika sehemu kubwa ya dunia hapo washawapiga gap trace upande wa africa branch yao ilikuwepo south africa, gap nyingine n kuwa mtv wana tuzo zao mtv ema, mtv mama awards, mtv movie awards wakati trace hawana so msanii nyimbo zke zinapigwa mtv ana nafac kubwa ya kutoka kuliko wa trace tv.
 
....mtv ndo mtemi kama huamini nenda dstv watakwambia....mtv ni muamerica na trace ni mfaransa.... trace anapatikana karibu vifurushi vyote vya dstv wakati mtv bila kifurush cha premier utaishia kumsikiliza kwa kanjibai...
 
....mtv ndo mtemi kama huamini nenda dstv watakwambia....mtv ni muamerica na trace ni mfaransa.... trace anapatikana karibu vifurushi vyote vya dstv wakati mtv bila kifurush cha premier utaishia kumsikiliza kwa kanjibai...
Sio kweli mkuu! Trace utaipata kuanzia kwenye Compact plus on DSTV
 
Umemaliza
 
daah kumbe wanatusumbua daily afu mambo yenyewe ndo hayo, shwain, wavuke border waende mtv bhana.
 
I love both TV stations. I love MTV Base for their wide range of music & musicians programs,from playing variety of music videos (old school music & current music) to conducting interviews with musicians. But I also dig TRACE TV because of airing very current songs/music. In terms of influence, MTV base have the bigger influence on the music industry than TRACE TV.
 
na sasa hivi wa branch east Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…