TRA yashinda kesi ya Tshs bil 38 dhidi ya VIP ya Rugemalila

Watu wengine hawana haya wala huruma. Ruge pamoja na kuchukuwa hard-earned money ya Watanzania bado alitaka TRA wamrudishie pesa?
 
Watu wengine hawana haya wala huruma. Ruge pamoja na kuchukuwa hard-earned money ya Watanzania bado alitaka TRA wamrudishie pesa?

Majitu yalishazoea vya kuiba na vya bure mkuu. Yanaona ni "haki" yao. Angalia Mkutano wa Haruni Ramadhani na waandishi wa habari utaelewa. Hata wanasheria wanomzunguka Ruge wanakula hapo hapo.
 
Hongera Magufuli...!! Judges wametoa hukumu halali, ingekuwa enzi za mzee wa Msoga, hii kesi Ruge angeshinda kwa kucheka tu..!!

Mfanyabiashara mwenzake na JK huyu, ingekuwa kipindi cha Rais Mwizi angeshinda, hiyo ni kweli.
 
ushindi wa 1 kati dhidi ya 99 ndio unashangilia? Bado hii system ni shida kwa maendeleo ya Taifa.

Tuwaulize zile za Singasinga zilizotolewa Stanbic zipo wapi na kodi imelipwa?
Magu mbona hajajaribu kugusa hilo dudu.
 
TRAB wameitupilia mbali rufaa ya VIP kupinga malipo ya kodi ya ongezeko la thamani kwenye dili lao la kifisadi na PAP. Hili dili ndio bado linawanyonya watanzania vibaya sana hadi leo hii.

Kampuni ya VIP Engineering and Marketing Limited ilikata rufaa kwenye bodi ya rufaa ya mapato(TRAB) dhidi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) kwa kuzidishiwa kodi ya dola za kimarekani 23,629,434.75, baada ya kuuza hisa zake kwa IPTL.

Katika rufaa iliyokuwa imewasilishwa kwa Kamishna Mkuu wa TRA, Kampuni ya VIP iliitaka bodi hiyo kuifuta hiyo kodi na kuiamrisha mamlaka TRA kurudisha dola za kimarekani 17,980,934.75.

MY TAKE: Je kesi yake ya kufisadi viongozi waandamizi wa serikali ya CCM na jamii, ni vipi mzee Mlowola wa Takukuru hapo umekaa mkao wa kula nao sahani moja?
Na zile za stanbic nazo mmepata kodi yake au kwa kuwa zinamhusu pia rais mstaafu?
 
Back
Top Bottom