Income tax anadaiwa raia pia au businesses? kama ni raia sehemu gani ya sheria inasema hivyo au ata uko TRA? maana naona wameorodhesha small businesses and audited businesses sijaona sehemu inasema zawadi, urithi etc pia unatakiwa kulipiwa income tax.Sheria zipo, kipato chochote anachopata mtu kinatakiwa kitozwe income taxi, Kama hicho kipato Ni zaidi ya laki tano kodi take huwa Ni 30%. TRA komaeni tupate pesa yetu kutoka kwa hiyo mama Na wengine wote waliogawa pesa za escrow.
tunashukuru KWA kutuelimisha. Na hii haijalishi umepataje.Capital Gain Tax 30%
TKNL imekumbusha kitu cha maana kabisa hivi Magu kashindwa kulifukua hili kaburi la waliosomba hela
za Escrow Stanbic?maana bado bichi kabisa kama anaweza kufatilia ishu za miaka 5 nyuma hili uzito wake unatoka wapi?au ndo anajipanga?
Trust me kungekuwa na wizi uliofanyika serikarini ungeona hatua zimechukuliwa au maazimio ya bunge kutekelezwa uamini mwambie Zitto aende mahakamani kuishitaki serikari kwa makelele anayopiga mitandaoni maazimio ya bunge kutofanyiwa kazi ndio utapoona unafiki wa huyu mwanasiasa anajua wazi kisheria hakuna wizi, IPTL ina mkataba na serikari matter of fact ndio kwanza waziri wa nishati na sera ya TANESCO bado inatangaza tender za PSA.Kwani ni Tibaijuka tu aliyepatiwa mgao na Ruge?
List nzima ya waliogawiwa na Ruge, wameshatoa hiyo kodi?
List ya waliogawiwa na Singasinga, nayo ikowapi? Nao wamelipa?
Waliomshauri Magufuli, Bunge lisiende LIVE, sababu moja ni ili ishu ya Escrow isiende hewani na kuwafichua, hivyo matokeo yake inakuwa ngumu kwa yeye "magufuli" kulikamua hilo jipu kama ana nia ya kweli!
Acha waubunge watapike nyongo ya escrow iende hewani live, na bunge lifikie maamuzi kuhusu hatua za kuchukuliwa wahusika wa esrow, na itamrahishia magufuli!
Income tax inadaiwa kwa mtu yeyote aliyepata kipato, ndo maana tulipa kodi kutoka kwenye mishahara yetu, tunalipa kodi kutaka kwenye house rent allowance nk.Income tax anadaiwa raia pia au businesses? kama ni raia sehemu gani ya sheria inasema hivyo au ata uko TRA? maana naona wameorodhesha small businesses and audited businesses sijaona sehemu inasema zawadi, urithi etc pia unatakiwa kulipiwa income tax.
kodi ya P.A.Y.E inalipwa kutokana na ajira unayofanya, income tax ni malipo yanayohusiana na income za kibiashara.Income tax inadaiwa kwa mtu yeyote aliyepata kipato, ndo maana tulipa kodi kutoka kwenye mishahara yetu, tunalipa kodi kutaka kwenye house rent allowance nk.
hizo hela haziwezi kurudi serikalini hata ashuke malaika kuwa rais,kwasababu ni malipo tayari yalikua yamelipwa kwa umeme tuliotumia.Hivi pesa za escrow zinalipiwa kodi si pesa za serikali zinatakiwa zirudi serikalini au ndio mafisadi wanavyosafishana
PAYE ni aina ya income tax, kama ilivyo presumptive taxi kwa wafanyabiashara. Base point ni kwamba sheria inataka kipato chochote (ukitoa vilivyoainishwa kwenye misamaha ya kodi) kilipiwe kodi.kodi ya P.A.Y.E inalipwa kutokana na ajira unayofanya, income tax ni malipo yanayohusiana na income za kibiashara.
Capital gain tax inalipwa kutokana na windfalls kama ya escrow kwa mtu kama Rugemalila kwa sababu za kuuza hisa zake za kibiashara na faida alizopata. Lakini waliopewa hela na Ruge wanalipa kodi ipi na kwa sheria ipi? lengo sio kutetea bali ni kujua impact yake kwa jamii hiyo sheria husika.
Ndio hapo sasa ina maana hela ya urithi pia mtu anatakiwa kulipia kodi? kuna watu leo wanauza nyumba zao mpaka into billions of shillings na kupata kipato TRA wako wapi? sasa hapo kipi kina mshamaha na kipi hakina. Isitoshe leta kipengele kinachomtaka Tibaijuka kulipa kodi tujue kama hii ni personal attack (so far that seems to be the case maana serikari imewaacha watu wenye hela stanbic bank kwa zoezi lililo kisheria kwa mujibu wako) na utupe hiyo sehemu inayosema hela ya kupewa pia inatakiwa kulipwa kodi mbona PAYE, Income TAX and other mentioned taxes have been clearly elaborated si ulete pia sehemu husika ya sheria kwenye hii case.PAYE ni aina ya income tax, kama ilivyo presumptive taxi kwa wafanyabiashara. Base point ni kwamba sheria inataka kipato chochote (ukitoa vilivyoainishwa kwenye misamaha ya kodi) kilipiwe kodi.