Tovuti ya NACTE haiko hewani, nini tatizo?

josephjul40

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
218
40
Habari wana jamvi humu?
Naomba kuuliza mbona tovuti ya Nacte haifunguki tangia jana, na hata kabla ya jana ilikuwa ni ngumu ku log in na kuangalia application process, tatizo ni nini hapo laweza kuwa? Karibuni
 
Unajibiwa kuwa ooohh mara haipo, wiki ya pili usumbufu huu upo tu sijui hawalioni tatizo
 
Habari wana jamvi humu?
Naomba kuuliza mbona tovuti ya Nacte haifunguki tangia jana, na hata kabla ya jana ilikuwa ni ngumu ku log in na kuangalia application process, tatizo ni nini hapo laweza kuwa? Karibuni
Wamefunga leo weekend
 
Kuna wakati mtandao unazidiwa hasa kipindi cha matokeo kutoka.
 
Kaa tayari kwani TCU watafungua tr 20/07 /2016 application zao nadhani nacte tuanze kusubili kuanzia kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…