Total opts for Tanzania oil route despite Kenya-Uganda talks

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,983
11,402
French oil giant Total has affirmed its commitment to construct the $4 billion (Sh406 billion) pipeline through Tanga despite the push by Kenya to have Uganda ship its crude oil through the Lamu port.

Total E&P Uganda general manager Adewale Fayemi said the French giant has made the decision to have the pipeline run through Tanzania despite talks between Uganda and Kenya.

“As a company, our position remains that we are going through Tanga…I understand there are issues being discussed but our position remains the same,” said Mr Fayemi said on Wednesday while attending a two-day East Africa Oil and Gas conference in Tanzania.
Total opts for Tanzania oil route despite Kenya-Uganda talks
 
Hapo itakuwa bado hajapata msimamo wa marekani na jumuiya ya ulaya akipewa maelekezo mradi utahamia Kenya, ni suala la wakati tu tusubiri
 
Haya ndio maneno tunahitaji kuyasikia watanzania baada ya kunyimwa hela za MCC. Angalau kuna watu wanaimani na tanzania. Mungu ibariki Tanzania
 
Suala la misaada ni tofauti na suala la biashara. Maslahi yakiwepo hayo mambo mengine wanapotezea.
 
Hapa tuko pamoja, kazeni buti, hili goma bado halijaisha, hakikisheni tunapata huu mradi , kumbukeni pia kuwa na maongezi na balozi wa ufaransa ili atupe atusukumie zaidi.
 
Hapa tuko pamoja, kazeni buti, hili goma bado halijaisha, hakikisheni tunapata huu mradi , kumbukeni pia kuwa na maongezi na balozi wa ufaransa ili atupe atusukumie zaidi.
Mkuu tayari balozi wa ufaransa alishamalizana na Prof.Muhongo, sasa tuangalie namna gani South Sudan atakavyoweza kuunganisha bomba lake la mafuta na hili la Uganda, kumbuka hawa CNOOC watakaojenga bomba kwa kushirikiana na Total ndio hao hao wanaochimba mafuta Sudani ya Kusini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…