Top 10 songs:Hazijawahi kuchuja masikioni mwangu.

magnifico

JF-Expert Member
Jan 14, 2013
9,902
21,173
Kuna ngoma hata ipite miaka kumi lakini ukaisikia leo hii unahisi kama imetoka leo kwa jinsi inavyokonga moyo wako.

NA HIZI NDIO ZANGU KUMI.

10.Ali kiba - Mac Muga

Huu wimbo umenifunza mengi kwenye maisha.

9. Chegge ft Q chief - Goodbye

Sidhani kama chege atakuja kutoa wimbo bora wa hisia kupita huu.

8. P square - No one like you

naukubali sana huu wimbo. SANA.

7.Bob rudala - Nimekuchagua wewe

Huu kila unapopigwa ni kama umetoka leo.

6.Wyre - Chuki

Hisia za kweli toka kwa Mkenya huyu. Wyre wa zamani.

5.Jua kali ft sana - Kwaheri

Best collabo ever.

4.Ne-yo - So sick

Ukitendwa hata nyimbo za mapenzi hutataka kuzisikia.

3.Wiz Khalifa - Roll up

Hapa Wiz mabangi alivunja.

2.Meek mill - In God we trust

Changamoto halisi za vijana watafutaji.

1. 2face - If love is a crime
Huu sidhani kama nitakuja kuuchoka hasa pale ninapoiona sura ya yule dada kwenye video yake. Nampenda sana yule dada.
 
Naziongezea miaka 10 tena mbeleni...Old got gold
 
9 na 5 mle mlee
Ujue kuna muda najiuliza Jua kali hiyo ngoma aliotea ama vipi? Maana hajaachia tena kibao kikali kama hicho. Na angezembea kidogo tu angefichwa vibaya sana na huyo 'Manzi'.
 
 
Ujue kuna muda najiuliza Jua kali hiyo ngoma aliotea ama vipi? Maana hajaachia tena kibao kikali kama hicho. Na angezembea kidogo tu angefichwa vibaya sana na huyo 'Manzi'.
walikopi na kupaste wimbo wa kiarabu,vinanda na korasi mulemule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…