Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,988
- 1,209
Mbona kiswahili kuna kushinda ni mtanzania kweli weweEnyi wadau wa JF, hapa nimezungumzia tofauti zilizopo, Isitafsiliwe kwamba nawachukia wanawake wembamba Hapana, Bali nimejaribu kuonyesha tofauti 10 zilizopo.
Note; wanene hapa namaanisha wenye wezere kiasi cha mboga na umbo la kati na kuendelea ,Vimbaumbau ni wale walomyooka ka penseli yaani mhindi toleo la mwish o na ngozi iliyo kavu na mfupa.
Katika uchunguzi wangu, kati ya wanawake hawa, nimegundua yafuatayo;
1. Asilimia kubwa ya wanawake wenye roho mbaya duniani wengi ni wembamba, i.e, mtakubaliana na mimi hata hapa kwetu Tz ilivyo maofisini mwetu, secretary akiwa mwembamba huwa wanaroho mbaya sana hata ukitaka kuonana na Bosi utajibiwa hayupo wakati unamuona yupo.
2. Kazi ngumu ngumu hufanywa na wanawake wembamba kuriko wanene, ie, Askari wengi ni wanawake wembamba kuriko ilivyo kwa wanene,
3. Inasemekana Wanaume huona fahari sana kutembea barabarani na mwanamke mnene kuriko kutembea na kimbaumbau.
4. Wanaume wengi waliooa wanawake wembamba wanaongoza kwa umalaya na uchepukaji kuriko wale wenye wake wanene wengi huridhika na kuchepka kwao ni kudogo sana.
5. Mwanamke mwembamba inasemekana hana joto la kutosha kiasi kwamba mwanaume akipiga moja tu tena kwa mbinde, ni shida kusisimka kwa round nyingine hadi kimbaumbau ajitume kweli kuamshaamsha ukiringanisha na kwa wanene.
6. Wanaume wenye kazi nyingi na mabosi wengi wanapenda wanawake wanene kuriko wembamba kutokana na uvivu wa kuwamudu wembamba kutokana na papuch zao kuwa za baridi ukiringanisha na wanene ambapo mwanaume akiwa kachoka ana weza piga mzigo tako mbili tu na mzigo ukatu na akalala fofofofoh.
7. Wanaume waliooa wanawake wanene huwahi kurudi nyumbani kukaa na familia zao kuriko wenye wake wembamba.
8. Wanawake wembamba wengi wao hupatwa na ugonjwa wa msongo wa mawazo na vidonda vya tumbo ukiringanisha na wanawake wanene.
9. Nyumba yenye mke mwanamke mnene inaufahari zaidi kuriko nyumba yenye mke mwanamke kimbaumbau.
10. Mwanamke mnene ni rahisi kuridhika na kustimusha kuriko mwanamke kimbaumbau na ndiyo maana katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia idadi kubwa ya wanawake wakitumia njia mbalimbali kuhakikisha wanakuwa na makalio makubwa. Wapo ambao wamekuwa wakitumia dawa za Kichina licha ya kuelezwa kuwa zina madhara.
Ndugu huu ni mtizamo tu msijenge chuki, ila kiukweli ewe unaejiandaa kuoa, kumbuka kuna watu wanaomba waachane kwahiyo ni vyema hata iweje jaribu kuchagua mwanamke mwenye namba D hata kiasi cha mboga kuriko ambaye hana kabisa kusema ukweli utakuwa umejipunguzia matamaa ya ajabu ajabu kwa usalama wa ndoa yako! USHAURI Kama vipi njia rahisi kwa wale tuliooa vimbaumbau tukazane kulisha kweli kweli ili angalau namba D isomeke. KARIBUNI
……………….Hutaki,kale malimao……………..