Tizama hapa namna Jenista Mhagama alivyo na heshima na unyenyekevu wa kiafrika

Wewe muoshambwa unaendelea sana kuosha mbwa , wenzako unaowafanyia uchawa ndio wanavyowalaghai wajinga wajinga kama wewe.
Na huyo hapo chini anaheshima kiasi gani manake kawapigia magoti watoto
 
Attachments

  • FB_IMG_1708392446812.jpg
    FB_IMG_1708392446812.jpg
    38.5 KB · Views: 3
Machawa tu! Mbele ya kura/kula watakulamba mpaka miguu!
Kununuwa magari ya kifahari wakisahau mabasi ya watoto wa shule za kata?!
Hapendwi wala haeshimiki mtu hapo!
Ni mwendo wa 💲🤑💰
 
Mheshimiwa Mhagama ni kiongozi mchapakazi na mnyenyekevu sana.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Jenista Mhagama ni mama mwenye unyenyekevu na heshima kubwa sana.ni mama na kiongozi ambaye licha ya ukubwa wa cheo chake lakini amekuwa ni mtu mkarimu ,mwenye heshima na unyenyekevu mkubwa sana.kuanzia katika kuongea mpaka katika matendo yake.ni kiongozi mwenye chujio la hekima la maneno yake kabla hayajatoka kinywani mwake.

Ni kiongozi ambaye huwezi ukasikia ameropoka jambo ambalo likaleta taharuki katika jamii . Ni kiongozi ambaye cheo hakijambadilisha tabia yake bali cheo kimemletea unyenyekevu na kutanguliza utu mkubwa.angalia katika picha hapa chini namna alivyo piga magoti kwa heshima ,staha ,adabu na unyenyekevu wa kiwango cha juu kabisa cha hekima ya kiafrika.

Kwa hakika alilelewa na akaleleka na alifundwa na akafundika vyema na wazazi wake.Ni ngumu sana kumkuta mtu mwenye cheo cha uwaziri tena wa muda mrefu katika awamu zote na kwa marais tofauti tofauti akapiga magoti kwa hekima kiasi hiki. Hii ndio sababu Mheshimiwa Jenista mbali ya uchapa kazi wake lakini busara ,hekima na unyenyekevu imefanya kila Rais anayeingia madarakani kutaka kufanya naye kazi na kuwa naye katika baraza la mawaziri la mwanzo kabisa.

Hii ndio sababu huwezi ukasikia maskanda ya rushwa ya kimgusa wala kuhusishwa nayo tangia ameanza utumishi wa umma kuwatumikia watanzania katika nafasi mbalimbali.kwa hakika Mheshimiwa Jenista Mhagama ni mfano wa kuigwa kwa mabinti wengi na wanawake wengi ambao wangependa kuwa viongozi wa nchi yetu katika nafasi mbalimbali.

Mheshimiwa Jenista Mhagama anaonyesha kuwa vyeo ni nafasi tu ambayo haipaswi kukubadilisha tabia yako na kuwa mtu wa kiburi na madharau.bali vyeo vinapaswa kukufanya kuwa mnyenyekevu zaidi ili kutoa fursa kwa watu wote wenye shida na kero mbalimbali kukufikia bila hofu wala uoga ili kupata msaada kutoka kwako.

Unyenyekevu ni kitu kidogo sana lakini kinaweza kukufikisha mbali sana na kukufungulia milango mingi sana katika ulimwengu huu.madaraka na vyeo vikubwa visikulevye bali vikufanye ukawa mtu mwenye huruma , upendo,utu na unyenyekevu mkubwa sana.Mheshimiwa Jenista Mhagama ataendelea kuwepo katika baraza la mawaziri la Rais yeyote yule atakayekuja madarakani, maana hakuna kiongozi au Rais anayeweza kumuweka kando ya baraza la mawaziri kiongozi kama Mheshimiwa Jenista Mhagama aliye jaa unyenyekevu wa hali ya juu na mwenye kutimiza vyema majukumu yake anayokuwa kapatiwa na kuaminiwa.View attachment 2908091
hivi wewe umefika darasa la ngapi au fyuzi haziko sawa.
ulitaka asimame pale mbele ya viongozi awakinge wengine kutizama mbele.
kama imewahi kutokea mtu anaenda mbele ya kiongozi kwenye jukwaa kuu na kusimama kuongea na kiongoz mwingine tuwekee hapa.
na kwa akili zako ulitegemea asimame apayuke kila mtu asikie au.
fanya kazi utaishia kuwa bwabwa
 
Sio kila kitu ni unyenyekevu mzee, hapo aliona soo kubong'oa mbele za watu. Afu hii mbona sio habari? Ila we jamaa
 
hivi wewe umefika darasa la ngapi au fyuzi haziko sawa.
ulitaka asimame pale mbele ya viongozi awakinge wengine kutizama mbele.
kama imewahi kutokea mtu anaenda mbele ya kiongozi kwenye jukwaa kuu na kusimama kuongea na kiongoz mwingine tuwekee hapa.
na kwa akili zako ulitegemea asimame apayuke kila mtu asikie au.
fanya kazi utaishia kuwa bwabwa
Acha wivu wako wewe. Ni wapi umewahi kumsikia Mheshimiwa Mhagama akipayuka mahali popote pale.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Jenista Mhagama ni mama mwenye unyenyekevu na heshima kubwa sana.ni mama na kiongozi ambaye licha ya ukubwa wa cheo chake lakini amekuwa ni mtu mkarimu ,mwenye heshima na unyenyekevu mkubwa sana.kuanzia katika kuongea mpaka katika matendo yake.ni kiongozi mwenye chujio la hekima la maneno yake kabla hayajatoka kinywani mwake.

Ni kiongozi ambaye huwezi ukasikia ameropoka jambo ambalo likaleta taharuki katika jamii . Ni kiongozi ambaye cheo hakijambadilisha tabia yake bali cheo kimemletea unyenyekevu na kutanguliza utu mkubwa.angalia katika picha hapa chini namna alivyo piga magoti kwa heshima ,staha ,adabu na unyenyekevu wa kiwango cha juu kabisa cha hekima ya kiafrika.

Kwa hakika alilelewa na akaleleka na alifundwa na akafundika vyema na wazazi wake.Ni ngumu sana kumkuta mtu mwenye cheo cha uwaziri tena wa muda mrefu katika awamu zote na kwa marais tofauti tofauti akapiga magoti kwa hekima kiasi hiki. Hii ndio sababu Mheshimiwa Jenista mbali ya uchapa kazi wake lakini busara ,hekima na unyenyekevu imefanya kila Rais anayeingia madarakani kutaka kufanya naye kazi na kuwa naye katika baraza la mawaziri la mwanzo kabisa.

Hii ndio sababu huwezi ukasikia maskanda ya rushwa ya kimgusa wala kuhusishwa nayo tangia ameanza utumishi wa umma kuwatumikia watanzania katika nafasi mbalimbali.kwa hakika Mheshimiwa Jenista Mhagama ni mfano wa kuigwa kwa mabinti wengi na wanawake wengi ambao wangependa kuwa viongozi wa nchi yetu katika nafasi mbalimbali.

Mheshimiwa Jenista Mhagama anaonyesha kuwa vyeo ni nafasi tu ambayo haipaswi kukubadilisha tabia yako na kuwa mtu wa kiburi na madharau.bali vyeo vinapaswa kukufanya kuwa mnyenyekevu zaidi ili kutoa fursa kwa watu wote wenye shida na kero mbalimbali kukufikia bila hofu wala uoga ili kupata msaada kutoka kwako.

Unyenyekevu ni kitu kidogo sana lakini kinaweza kukufikisha mbali sana na kukufungulia milango mingi sana katika ulimwengu huu.madaraka na vyeo vikubwa visikulevye bali vikufanye ukawa mtu mwenye huruma , upendo,utu na unyenyekevu mkubwa sana.Mheshimiwa Jenista Mhagama ataendelea kuwepo katika baraza la mawaziri la Rais yeyote yule atakayekuja madarakani, maana hakuna kiongozi au Rais anayeweza kumuweka kando ya baraza la mawaziri kiongozi kama Mheshimiwa Jenista Mhagama aliye jaa unyenyekevu wa hali ya juu na mwenye kutimiza vyema majukumu yake anayokuwa kapatiwa na kuaminiwa.View attachment 2908091

Thubutuuu!

Jichanganye!
 
Back
Top Bottom