Tizama hapa namna Jenista Mhagama alivyo na heshima na unyenyekevu wa kiafrika

Mpango wenu CCM? we kidampa tu unapiga soga humu toka uanze kuweka namba ya simu unazogolewa tu. Hufahamiki kwa lolote la maana. CCM ina wenyewe na wenyewe ndo sisi mwaka huu hatutaki machawa. Utaishia kujikomba tu dogo.
Wewe ni kama jina lako tu kuwa wewe ni chizi maarifa.
 
Ni kweli naikumbuka vyema kabisa picha hiyo ya Mheshimiwa Ummy Mwalimu akiwa kapinga magoti kwa unyenyekevu mkubwa. Naye ni miongoni mwa viongozi na mawaziri wanawake wanyenyekevu sana kama ambavyo pia nilishaandika humu jukwaani kumuhusu.
Ni jambo jema sana kiafrika na ni heshima kibinadamu/mwanamke.
Hata hivyo;-
-angeinama ingeleta muonekano unaovutia muonaji kumuangalia maungo yake hasa mapaja na makalio.
-angeinama urefu wake ungekuwa kinzani kwa walioko nyuma kushindwa kuona yanayojiri.Kuna watu wakipitwa na jambo kidogo tu,hununa,kutukana kimoyomoyo na kuharibiwa siku.Aliwasoma na kucheza na akili hizo.Hapo sijaeleza kama angesimama.
-China na Japan wametufunza mengi.
 
Siyo wanawake wote wenye hekima ,adabu ,staha na unyenyekevu mkubwa kama alionao Mheshimiwa Jenista Mhagama.

Kwa hiyo Tanzania nzima mwanamke mwenye hekima, adabu, staha na unyenyekevu mkubwa ni Mama Jenista Mhagama pekee?

Wewe sijui Mnyiha wa wapi ambaye hata kwenu Mbozi hujaona wanawake waliokuzwa na kufunzwa adabu kwa mwanaume pasipo kujali rika la mwanaume...
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Jenista Mhagama ni mama mwenye unyenyekevu na heshima kubwa sana.ni mama na kiongozi ambaye licha ya ukubwa wa cheo chake lakini amekuwa ni mtu mkarimu ,mwenye heshima na unyenyekevu mkubwa sana.kuanzia katika kuongea mpaka katika matendo yake.ni kiongozi mwenye chujio la hekima la maneno yake kabla hayajatoka kinywani mwake.

Ni kiongozi ambaye huwezi ukasikia ameropoka jambo ambalo likaleta taharuki katika jamii . Ni kiongozi ambaye cheo hakijambadilisha tabia yake bali cheo kimemletea unyenyekevu na kutanguliza utu mkubwa.angalia katika picha hapa chini namna alivyo piga magoti kwa heshima ,staha ,adabu na unyenyekevu wa kiwango cha juu kabisa cha hekima ya kiafrika.

Kwa hakika alilelewa na akaleleka na alifundwa na akafundika vyema na wazazi wake.Ni ngumu sana kumkuta mtu mwenye cheo cha uwaziri tena wa muda mrefu katika awamu zote na kwa marais tofauti tofauti akapiga magoti kwa hekima kiasi hiki. Hii ndio sababu Mheshimiwa Jenista mbali ya uchapa kazi wake lakini busara ,hekima na unyenyekevu imefanya kila Rais anayeingia madarakani kutaka kufanya naye kazi na kuwa naye katika baraza la mawaziri la mwanzo kabisa.

Hii ndio sababu huwezi ukasikia maskanda ya rushwa ya kimgusa wala kuhusishwa nayo tangia ameanza utumishi wa umma kuwatumikia watanzania katika nafasi mbalimbali.kwa hakika Mheshimiwa Jenista Mhagama ni mfano wa kuigwa kwa mabinti wengi na wanawake wengi ambao wangependa kuwa viongozi wa nchi yetu katika nafasi mbalimbali.

Mheshimiwa Jenista Mhagama anaonyesha kuwa vyeo ni nafasi tu ambayo haipaswi kukubadilisha tabia yako na kuwa mtu wa kiburi na madharau.bali vyeo vinapaswa kukufanya kuwa mnyenyekevu zaidi ili kutoa fursa kwa watu wote wenye shida na kero mbalimbali kukufikia bila hofu wala uoga ili kupata msaada kutoka kwako.

Unyenyekevu ni kitu kidogo sana lakini kinaweza kukufikisha mbali sana na kukufungulia milango mingi sana katika ulimwengu huu.madaraka na vyeo vikubwa visikulevye bali vikufanye ukawa mtu mwenye huruma , upendo,utu na unyenyekevu mkubwa sana.Mheshimiwa Jenista Mhagama ataendelea kuwepo katika baraza la mawaziri la Rais yeyote yule atakayekuja madarakani, maana hakuna kiongozi au Rais anayeweza kumuweka kando ya baraza la mawaziri kiongozi kama Mheshimiwa Jenista Mhagama aliye jaa unyenyekevu wa hali ya juu na mwenye kutimiza vyema majukumu yake anayokuwa kapatiwa na kuaminiwa.View attachment 2908091

Heshima za kinafiki. Majizi ya kura kwa maigizo hamjambo. Mtu mjinga ndio anaweza kuona huo usanii ni heshima.
 
Unyenuekevu Kwa mamlaka YA teuzi..do u think anaweza nyenyekea Kwa mume wake hivyo..kupiga goti hivyo..usanii Wa CCM kipindi cha kampeni
 
Performance ndiyo la msingi... hili la kupiga magoti utoto tu
 
Kwanza tizama alivyovaa. Hapo kuchuchumaa ama kuinama ingekuwa shida zaidi. Amefanya hivyo ili iwe rahisi kwenye kuwasiliana.

Hajapiga magoti kwasababu kuna kitu anaomba.

Halafu makabila mengine ni kawaida kama utamaduni tu. Mdada wa kisukuma kwa mfano, alikupa maji ya kunywa anapiga magoti na anakaa hapo hadi umalize kunywa ndo anainuka.

Sema una issue kwenye ubongo wako siyo bure.
 
Usiwe na wivu mkuu. Jifunze kupongeza kwa mtu anayestahili kupongezwa. Mheshimiwa Jenista Mhagama anastahili pongezi kwa namna alivyo mnyenyekevu na muungwana.
 
Ni kweli naikumbuka vyema kabisa picha hiyo ya Mheshimiwa Ummy Mwalimu akiwa kapinga magoti kwa unyenyekevu mkubwa. Naye ni miongoni mwa viongozi na mawaziri wanawake wanyenyekevu sana kama ambavyo pia nilishaandika humu jukwaani kumuhusu.
Hivi unajua kuwa umeme na sukari ni tatizo nchi hii?
 
Unyenuekevu Kwa mamlaka YA teuzi..do u think anaweza nyenyekea Kwa mume wake hivyo..kupiga goti hivyo..usanii Wa CCM kipindi cha kampeni
Mwenye hekima ni mwenye hekima tu.mnyenyekevu ni mnyenyekevu tu na wala hachagui mahali pa kuonyesha tabia yake.kwa hiyo tambua yakuwa unyenyekevu ndio tabia ya Mheshimiwa Jenista Mhagama.
 
Duala
Suala la uchapa kazi kwa Mheshimiwa Jenista Mhagama siyo la kuuliza wala kutilia mashaka ,maana ni mchapa kazi aliyetukuka.
Acha uchawa K wewe...alipokuwa wizara ya Ajira katoa Ajira ngapi? Huyu mama ana survive Kwa kuwa chawa..kamsifia sana magu ..jk na samia..!! Aache uchawa!
 
Naona huna akili hata kidogo .tangia lini waziri ameanza kuwa na mamlaka ya kutoa ajira yeye binafsi.
 
Back
Top Bottom