Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,285
- Thread starter
- #21
5 hrs non stop ama? Kama ni nonstop apo ni sawa..Mkuu simu yangu ina mAh2600 lakini sasa ikiwa fully charged naitumia 5 hour betry low kabisa au matumiz yangu mabovu ?
Hata mimi ndio natumia angalia tangu sa nne asubuhi nilipo itoa ndo imefika asilimia 50. Hapa nikiichaji usiku huu kesho naitumia kuanzia sa moja asubuh mpaka jioni kabisa tena data ikiwa on..Iyo simu anatumia mshana jr ngoja aje atueleze
Mkuu tafuta fast charger...simu inajaa chini ya nusu saa!! Note 4 yangu ilikuwa na shida hiyo pia..toka nimebadilisha charger hakuna usumbufu..japo chaji inalika kama kawa!!Mkuu nakubaliana na wewe yaani simu yangu imekuwa mbovu hatar naichaji kwanzia saa nne husiku kufika saa moja hasubuhi eti ndo chaji imefika asilimia 55
mkuu siku moja na masaa 9 kwa smartphone ni muda mzuri tu mbona?
Apo unapiga, unachat, unacheza games ?Hata mimi ndio natumia angalia tangu sa nne asubuhi nilipo itoa ndo imefika asilimia 50. Hapa nikiichaji usiku huu kesho naitumia kuanzia sa moja asubuh mpaka jioni kabisa tena data ikiwa on..
eka screenshot ya setting then batteryHata mimi ndio natumia angalia tangu sa nne asubuhi nilipo itoa ndo imefika asilimia 50. Hapa nikiichaji usiku huu kesho naitumia kuanzia sa moja asubuh mpaka jioni kabisa tena data ikiwa on..
naomba kujua zaid kuhus hiz inginix mkuu ,,, mana nazisikia sana tuKuna simu zinaitwa infinix
Kwenye chaji sijapata ona ila inaweza isikidhi mahitaji kama ya kina mkwawa sijui mediatek(ambazo wanaona zina low performance) na nini nini huko ambayo kiujumla yanakunywa chaji na kumlazimisha mtumiaji kuchaj simu yake kila wakati au baada ya masaa machache
eka screenshot ya setting then battery
Sawa mkuu wacha nijaribumkuu siku moja na masaa 9 kwa smartphone ni muda mzuri tu mbona?
na hapo kikubwa kinachokula chaji ni battery
kukupa tu tip kwa simu za amoled zikidisplay rangi nyeusi huwa hazili chaji sana,
nenda setting halafu themes halafu download themes tafuta themes yenye rangi nyeusi iweke wakati unataka simu ikae na chaji
Kucheza gem huwa nacheza nikiishiwa data. Ila muda wote data iko on wasap messages na jf na app nyingine za michezo n.kApo unapiga, unachat, unacheza games ?
mkuu siku moja na masaa 9 kwa smartphone ni muda mzuri tu mbona?
na hapo kikubwa kinachokula chaji ni battery
kukupa tu tip kwa simu za amoled zikidisplay rangi nyeusi huwa hazili chaji sana,
nenda setting halafu themes halafu download themes tafuta themes yenye rangi nyeusi iweke wakati unataka simu ikae na chaji
Yaani quality kiaje mkuu?Tatizo ni quality ya simu yenyewe.
Mkuu simu yako inajitaidi sana vip ina mAh ngapi?Kucheza gem huwa nacheza nikiishiwa data. Ila muda wote data iko on wasap messages na jf na app nyingine za michezo n.k
4000.Mkuu simu yako inajitaidi sana vip ina mAh ngapi?