TISHIO LA NJAA KENYA: Rais Kenyatta apiga marufuku mahindi kuuzwa ng'ambo

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,599
6,669
Jan 21, 2017 - The Star



President Uhuru Kenyatta has banned maize exports to the country with immediate effect.

This follows ravaging drought in many parts of the country that has affected the grain reserves.

Uhuru said a stern action will be taken against those who will be found exporting grain or hoarding stocks in order to sell at inflated prices during the dry season.

''We will not allow any trader to buy maize in large amount so as to store and eventually cash in following the ravaging drought in the country,'' the president said on Friday during a tour of Isiolo, which is among the drought stricken counties in the country.

According to the government, drought is worst in the Coastal region, specifically in Kilifi, Kwale, Tana River and Taita Taveta counties.

Other counties that have been hit include Kitui, Garissa, Mandera, Marsabit, Makueni, Samburu and Wajir.

Uhuru said the national government will revise its budget in order to address the drought menace in the country.

“I'm also urging county governments to relook their budgets in order to cushion Kenyans against the effects of the drought,” he said.

The country consumes about 29 million bags of maize every six months but there is biting shortage due to poor rains which reduced harvests and affected stocks in the national grain reserve in the past season.

Reports from the Ministry of Agriculture indicates the country has 21 million bags of maize as of now, translating to a deficit of eight million bags.

The stocks include those held by farmers and the Strategic Grain Reserve and can only last until June.

Agriculture Cabinet Secretary Willy Bett however said there is no plan to import maize since there is enough stock of other types of foods grains and legumes.

The CS said the government will purchase two million bags of maize from farmers before end month to increase the stocks.

The government is offering Sh3000 for a bag of maize, which the CS said is “fair enough”.

“So far, we have bought 1.4 million bags of 90 kilogrammes each,” he said noting purchases would have been higher if farmers were not hoarding maize.
 
It is true, I was in Turkana last two weeks saw the situation is terrible.

Wakenya wasiingize siasa KAMA ZA CHADEMA.

Wewe ndio naona umeanza siasa, hili la njaa huwa hatulifanyiia siasa au utani. Huwa tunakiri kila tukiwa na tishio na kulishughulikia.
Huko kwenu ndio naona mnatoa matamko tofauti kuhusu tishio la njaa.

Nilikua nafuatilia huu uzi hapa

Swali: Kuna Njaa au Hakuna Njaa Tanzania???.

Upande 01: Kuna Njaa Tanzania.
Upande 02: Hakuna Njaa Tanzania.

Serikali: Hakuna Njaa Tanzania.
Vyama vya Upinzani: Kuna Njaa Tanzania.

Viongozi wa Dini: Kuna Ukame na Njaa Tanzania, tumwombe Mwenyezi Mungu atuepushie mbali na hili.

Baadhi ya Wananchi: Kuna Njaa Tanzania.
Baadhi ya Wananchi: Hakuna Njaa Tanzania.

Wasomi na Wanataaluma kama Ma Dr na Prof. kwenye vyuo vyetu vikubwa wako kimyaaaa. Au wanatengeneza proposal wakafanye research kabisa kama kuna njaa Tanzania ama la!!!!.

Tunakumbuka sijui usemi usemao Mwenye shibe hamjui mwenye njaa????.

Kuna Njaa au Hakuna Njaa Tanzania???.
 
HAKUNA NJAA
 
HAKUNA NJAA
Tanzania kuna siasa nyingi adi mataifa mageni wanalitambua hili
 
Kwa hiyo. ..kwani wao ni nani kwetu? Hayo mataifa mageni magoti yao yatakunjwa tu!
Acha masihara unadhani hii nchi yetu ni kisiwa kwamba inaishi yenyewe tu au ?magoti tutawakunjaje sasa akati wenzetu wanaendelea kiuchumi na technolojia wanafanya research wakati sisi facts zinatokana na maneno ya siasa
 
Hivi ulimuelewa alivyo sema au ndio yale yale ya "wwwwww".kukurupuka.com
Anakuambia usiige ya wanasiasa wa Tanzania ya kutoa matamko yasio eleweka. Kenya na nyinyi hili linaweza kuvaliwa suruali na wanasiasa mkapa mkaaza kuona nyota tatu tatu.
 
Acha masihara unadhani hii nchi yetu ni kisiwa kwamba inaishi yenyewe tu au ?magoti tutawakunjaje sasa akati wenzetu wanaendelea kiuchumi na technolojia wanafanya research wakati sisi facts zinatokana na maneno ya siasa
Kwani wachina walianzaje au India. ...juzi tu tulikuwa wote tukiitwa nchi masikini sasa hivi wao ndiyo wanawakopesha marekani. ..acha kujidharau. .ondoa vitu negative walio kuwekea wazungu. ...MIND CONTROL. ..kuwa na fikra huru....IT CAN BE DONE. .PLAY YOUR PART..
 
MAULANA MOLA WETU RHABUKA IBARIKI AFRICA YETU NA WATU WAKE. .NYUMBANI KWETU. ..HATUNA PENGINE. .EHH MWENYE ENZI MUNGU SIKIA KILIO CHA MWAFRIKA UTUOKOE. ...KATIKA JINA LA YAHUSHUA HA MASHAIC. ..AMEN RA
 

Kukurupuka kivipi, naona Tundu Lissu anavyong'ang'ana kueleza hali ya njaa.
 
Kukurupuka kivipi, naona Tundu Lissu anavyong'ang'ana kueleza hali ya njaa.
Usisene na hii tuna spin, lakini serikali imeshasema tunazo tani milioni 1.5 za chakula. Njaa huku umekuwa mtaji wa kisiasa, lakini hakuna anaeonyesha njaa uko wapi na nani mwenye shida ya chakula.
 
Wewe embu acha masihara ya kijinga yani kasi ya development ya china unairinganisha na ya bongo hahahahah wewe kwel ISIS aisee.
 
MAULANA MOLA WETU RHABUKA IBARIKI AFRICA YETU NA WATU WAKE. .NYUMBANI KWETU. ..HATUNA PENGINE. .EHH MWENYE ENZI MUNGU SIKIA KILIO CHA MWAFRIKA UTUOKOE. ...KATIKA JINA LA YAHUSHUA HA MASHAIC. ..AMEN RA
Una vitu vianonekana kwa mfano Kenya inaonyesha kabisa kuwa hata wananchi wake wana mentality ya development ila hapa bongo mkuu development ni siasa ya bungeni na kweny vijiwe vya kahawa
 
Wewe embu acha masihara ya kijinga yani kasi ya development ya china unairinganisha na ya bongo hahahahah wewe kwel ISIS aisee.
MIMI NI ISIS
UNARINGANISHA = UNARINGANISHA. .
Naona unajitekenya mwenyewe Mr mjinga. ..maana kimtokacho mtu ndivyo alivyo. ...
GODESS OF MAGIC. ..ISIS GODESS OF 10000 NAMES. ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…