Timbulo amtumia salam Vanessa Mdee, amuambia kama alikuwa hamjui basi keshamjua

Status
Not open for further replies.
Nilishasema hawa madada zetu ni shida hata ukimsifia kidogo tu tiyari nyodo sasa usiombe awe na umaarufu kidogo ndo shida kabisa.
 
siriaz wanaboa sana, , kwann wasiwe natural!! kwa mfano wakikaa na nick minaji akirusha nywele nao wanarusha nywele,,,hawajui kama wanachekwa!! Basi wapunguze kidogo! au wazikuze nywele zao! Na kama ni kuvaa wigi au kubond walijaribu kuweka reasonable size!
 
Labda alikataa kutokana na hilo jina!! Eti Timbulo! Kuna majina yenye nguvu ya kuubeba u-star!! Siyo unajiokotea lijina lako huko dampo halafu unataka kuliweka kwenye kapu moja na u-star!! Vyote vitanuka! Sisemi atumie majina ya kizungu!!fanya utafiti utagundua mastaa wengi wenye majina ya kueleweka huwa wanakuwa tofauti,kuna majina yanaweza kubaki kwenye midomo ya mshabiki kwa muda mrefu hata ukiwa haupo juu! Kuna jina hata kama uko juu mtu anashindwa kulitamka! Wasanii wajitahidi kuja hata na hizo hizo stage names ila ziwe angalau zinatamkika!! Siyo tumbulo!! Kha!
Mkuu ulitaka ajiite jina la kizungu au ndio nyinyi hata mnayakataa majina yenu ya asili
 
Huyo dada nilimpenda zamani wakati yuko mtv!
Alikuwa orijino!
Ila siku hizi kawa too fake!
Bahati nzuri Mungu kujua hilo,akamnyima na tako!
Kuna Nyimbo Tulikua Tunaimba Ujanani.
"kafanya Mungu kafanya,kafanya Mungu kafanya,kampa kiuno tako hanaaaaaa"
 
Yani anajifake fake kama mwanasesere vile.
Ila ni mbaya honestly
Mkuu, mwanzoni haka kabinti nakaona kalikuwa "kanahost" BSS kalikuwa kazuri kweli na uhalisia wake,ngozi nzuri wala kalikuwa hakana kupaka mauchafu usoni..

Ila sasa hivi nmekuja kukaona kako kama mwiba..sijui kamekuwaje??
 
Huyu timbulo kweli domo lake ni zito!

Udomo zege wake kaudhihirisha rasmi, hapa kuna kitu anakihitaji kwa V money ndio ivyo hana uwezo wa kufunguka
 
Timbulo nae analeta mambo ya kike.

Hiyo swala kaanza kuliimba toka mwaka jana mpaka Leo bado analia lia....Kwa muda ambao Timbulo anao kwenye game Vanessa ni kama mdogo wake kuanzia muziki mpaka umri kumlilia lilia Kwa ajili ya kubania Collabo ni upuuzi tu.
 
Wanawake wana vituko sana akienda kuhojiwa hata kwenye TV show flani basi utakuta kavalia ile minywele yao fake basi kila muda anaongea anairusha rusha nyuma anajiona mzungu
Yan kabsa wanavyojizungusha na hayo manywele utafikiri wamezaliwa nazo kumbe mbwembwe tu na maringo wakishuka kimuziki wanachooka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom