TIGO wamevunja ndoa yangu

Aiiiiiiii kaondoka kisa sms? Angekuona laivu? Si angepasuka? Kafanya la maana kuwapisha wakamata fursa. Safari njema.


Umeona eeh... tena kumkomesha huyo asimtafute mwezi mmoja tu atarudi mwenyewe!! asiporudi hadi miezi 3 anavuta chombo kipya ndani
 
Wala usilaumu Tigi ni Mungu ameamua kukuunbua na usikasirike huenda akakuokoa na tabia uliyonayo kama utajitambua
 
hata voda kuna wakati huwa wanakuwa na hiyo hali text inaweza kujirudia hata mara nne au tano, unge block namba yake usipokee sms kuna baadhi ya simu huwa zinauwezo wa kublock mtu kwa upande wa sms. chakufanya mfate home kuwa mkweli, waangukie wakwe zako
 
Pole ndugu yng... Hata Mimi Nimepata lawama kwa mtu niliyemtumia msg juzi ananiambia imekuwa ikiendelea kuingia Kila baada ya muda
yaani, kumbe ni tatizo la Tigo mie nkajua ni simu yangu ndo ina tatizo yaani SMS inajirudia mara mia
 
Nadhani tatizo la kujirudia kwa sms sio tigo pekee.
Sijui kuna shida gani maana tangu juzi alhamis mitandao ya Airtel na Voda ambazo nina tumia huduma zake wamekuwa wanatuma kwa kurudia sms mara nyingi sana. Hali hii ilinisababishia usumbufu mkubwa na law ama nyingi!
Mwenye kujua sababu za tatizo hilo asaidie hapa.
 
Back
Top Bottom