Tigo Back Up App

Cesar

Senior Member
Apr 21, 2016
143
147
salaam wadau,

Hii application waliitangaza kua ni nzuri sana kulinda taarifa zako binafsi na pia kulinda simu

yako,basi mimi nikaiweka kwenye simu yangu kwa malipo ya takribani TZS 600 kwa mwezi,week

kama mbili zimepita nilipoteza simu yangu (android) hivyo kesho yake nikaenda kwenye office ya

Tigo niweze ku renew line yangu na pia kuuliza ni jinsi gani hii application inafanya kaz sababu

siku nliyopoteza simu nilifungua tigobackup.com nika log in ili niweze kufuta taarifa zangu

ujumbe nilioupata ni kua device yangu haionekani,kitu cha kushangaza kwenye office ya tigo

hakuna mfanyakazi hata mmoja alionekana kufahamu nini cha kufanya wala maelezo gani anipe

kuhusu application hii ambayo mteja unailipia!!!
 
Yani kuweka application hii kwenye simu yako sema ukweli ni pumba maana vitu vyote inachofanya Android tayari inavifanya bila hiyo app.

Lakini hata sishangai maana wafanyakazi wa tigo kama walivyo sema hapo juu ni majipu
 
Pia ina affect your lock security mimi nilishawah kuweka sasa kila nikiweka lock ya simu haichukui muda ina ji unlock
, mwisho nikatupilia mbali aise
 
Kazi ipo!

Tatizi kubwa sio kufeli kwa hiyo app. Systems aren't perfect. Hapo tatizo ni lack of support.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…