FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,025
- 122,636
Kwa kweli ifike wakati tanzania tuhuma tuu.....itoshe kumuweka kiongozi pembeni...ila huu umbumbumbu wa kukumbatia watu wenye tuhuma kuwa vuiongozi ipo siku itatugharimu
Naam, Kikwete alimuweka pembeni au umesahau? Ubunge alionao ni wa kuchaguliwa na wapiga kura wake.
Hata Lowassa aliwekwa pembeni na Kikwete lakini chadema ikamfanya ndiyo mgombea wao wa urais. Usisahau hilo.