Tibaijuka kwa hili la kupinga adhabu ya kifungo kwa kukosa risiti umeonesha uzalendo wa hali ya juu

Kumbe yupo...!

Huyu ni mama MBOGA tu hata sijui kama amekwisha zilipia zile hela kodi; anajitahidi kujisafisha lakini ajue kuwa JPM anajua kuwa mchana yuko ccm lakini usiku yuko anakojua yeye!!! Si mnakumbuka mama huyu alivyojipamanua kule Arusha mwaka jana!!!
 
Wakichangia mchango wa Mama Tibaijuka baadhi walisema walimjua tu kama mama wa Mboga lakini sasa wamemkubali. Ni vizuri hatimaye wengi wameliona hilo.

Hiyo kauli ya mboga ilikuwa propaganda kumchafua huyu mama ili kuwaficha waliokwapua fedha za ESCROW hapo STANBIC. Yeye alisema alipewa fedha na ndugu yake Rugemalira akiamini ziko halali akazipeleka shuleni kwake ambapo anawafadhili watoto wengi masikini kusoma katika viwango vya juu.

Huyu mama aliitisha press conference na alimtaka Rais Kikwete na Serikali yake wathibitishe kama fedha ya Rugemalira siyo halali ili wazirejeshe Kikwete akasema ni halali siyo za Serikali. Lakini Kikwete huyo huyo ambaye Rais Magufuli amesema alimkabidhi kila kitu hewa akamfukuza uwaziri huyu mama peke yake tena hadharani pale Diamond. Kwa hiyo mama huyu alitumbuliwa bila kosa lolote.

Huyu mama mimi niliamini amekwisha lakini wapi? Akakaa kimya na kurudi jimboni kwao akagombea ubunge tena na kushinda pamoja na hila zote alizofanyiwa asirudi Bungeni.

Kumbe wananchi wake wamemuelewa kabla ya sisi wana mitandao kufanya hivyo kwa sababu humu jamvini tunalishwa propaganda za mafisadi halisi waliomchafua huyu Mama kwa sababu wanasema katika vikao ni mkweli haogopi kusema analoamini ni sahihi.

Kumbe hili ndilo lilimkera Kikwete akamfukuza kwenye vikao vyote alivyochaguliwa kihalali ikiwemo Kamati Kuu ya CCM. Kikwete alikuwa anaogopa ukweli wa Tibaijuka. Unauma.

Sasa angalia mchango wake mkubwa Bungeni kuwasaidia Watanzania na pia Serikali ya Magufuli wasitunge sheria mbovu.

Kaokoa wangapi ambao tungefungwa tu kwa kuwa tumeipoteza risiti. Kumbuka sheria ikishatungwa ndiyo basi. Hata Rais hawezi kukusaidia maana naye sharti atawale kwa mujibu wa sheria.

Ni rushwa ngapi zingetafunwa na watu wa TRA katika kutishia watu wasipowalipa watawapeleka gerezani. Kadhia ya polisi wa trafiki sasa ingelikuwa pia ya vijana wa TRA kuvizia watu kwenye migahawa na maduka wakikagua risiti za kielektroniki.

Kweli nimejifunza kwamba wananchi vijijini ni makini katika kuchagua viongozi kuliko sisi mijini. Hawatawaliwi na jazba au fitna. Wanampima mtu.

Imagine tungelipoteza hazina hii hivi hivi katika uchaguzi mkuu.

Hata Rais Magufuli ana sifa ya kupenda ukweli na ndiyo maana wajumbe wa CCM waliamua ndiye apeperushe bendera yao baada ya jina la Lowassa kukatwa tena na huyo Rais ambaye sasa wote tunajua kutoka kwa mrithi wake kuwa alikabidhi kila kitu hewa.

Naamini ndiyo maana hata hawa akina Mama Tibaijuka sasa wanasema ukweli ndani ya Bunge la CCM bila kuogopa maana angelikuwa ni Kikwete huyu mama angerudi matatani. Kwa kuwa Magufuli amesema mara nyingi msema kweli ni mpenzi wa Mungu basi hatutarajii huyu mama kusumbuliwa tena kwa ukweli wake. Ameokoa jahazi.

Na ninampongeza Waziri wa Fedha Dr Mpango ambaye naye alikubali hoja za Mama Tibaijuka ukweli wake ulipodhihirika. Ni dalili nzuri.
Ni kweli kwa hilo tuna muunga mkono na kumpongeza kutetea maslahi ya wanyonge lakni pesa za eskru alitafuna.!! Au yeye ile mahakama yetu haimuhusu
 
Ni upuuzi mtupu kupigwa fine kwa sababu huna receipt, hapa ninapoishi receipt inatumika kama kisibitisho (1) ownership rights, (2) kukucover kwa warranty, halafu tuna ile traditional kama hukupewa receipt inamaanisha hicho kitu ni Bure, usilipe.
Jamani msibumburuke na sharia za kiajabu ajabu fanyeni research muwe mnawatuma watu kwenye hizi nchi wasome watu wanadeal vipi na hizi issue,
Professor hovyo kabisa, ccm wanakuja na idea za stone age
Uko sahihi mkuu. Tuna tatizo la kutojipa muda wa kufikiri zaidi. Tunapenda kufanya maamuzi bila tafakuri!
 
angeusema sasa huo utaratibu mpya.... wenzake wameona wafunge watu yeye angetoa njia mbadala
 
Wakichangia mchango wa Mama Tibaijuka baadhi walisema walimjua tu kama mama wa Mboga lakini sasa wamemkubali. Ni vizuri hatimaye wengi wameliona hilo.

Hiyo kauli ya mboga ilikuwa propaganda kumchafua huyu mama ili kuwaficha waliokwapua fedha za ESCROW hapo STANBIC. Yeye alisema alipewa fedha na ndugu yake Rugemalira akiamini ziko halali akazipeleka shuleni kwake ambapo anawafadhili watoto wengi masikini kusoma katika viwango vya juu.

Huyu mama aliitisha press conference na alimtaka Rais Kikwete na Serikali yake wathibitishe kama fedha ya Rugemalira siyo halali ili wazirejeshe Kikwete akasema ni halali siyo za Serikali. Lakini Kikwete huyo huyo ambaye Rais Magufuli amesema alimkabidhi kila kitu hewa akamfukuza uwaziri huyu mama peke yake tena hadharani pale Diamond. Kwa hiyo mama huyu alitumbuliwa bila kosa lolote.

Huyu mama mimi niliamini amekwisha lakini wapi? Akakaa kimya na kurudi jimboni kwao akagombea ubunge tena na kushinda pamoja na hila zote alizofanyiwa asirudi Bungeni.

Kumbe wananchi wake wamemuelewa kabla ya sisi wana mitandao kufanya hivyo kwa sababu humu jamvini tunalishwa propaganda za mafisadi halisi waliomchafua huyu Mama kwa sababu wanasema katika vikao ni mkweli haogopi kusema analoamini ni sahihi.

Kumbe hili ndilo lilimkera Kikwete akamfukuza kwenye vikao vyote alivyochaguliwa kihalali ikiwemo Kamati Kuu ya CCM. Kikwete alikuwa anaogopa ukweli wa Tibaijuka. Unauma.

Sasa angalia mchango wake mkubwa Bungeni kuwasaidia Watanzania na pia Serikali ya Magufuli wasitunge sheria mbovu.

Kaokoa wangapi ambao tungefungwa tu kwa kuwa tumeipoteza risiti. Kumbuka sheria ikishatungwa ndiyo basi. Hata Rais hawezi kukusaidia maana naye sharti atawale kwa mujibu wa sheria.

Ni rushwa ngapi zingetafunwa na watu wa TRA katika kutishia watu wasipowalipa watawapeleka gerezani. Kadhia ya polisi wa trafiki sasa ingelikuwa pia ya vijana wa TRA kuvizia watu kwenye migahawa na maduka wakikagua risiti za kielektroniki.

Kweli nimejifunza kwamba wananchi vijijini ni makini katika kuchagua viongozi kuliko sisi mijini. Hawatawaliwi na jazba au fitna. Wanampima mtu.

Imagine tungelipoteza hazina hii hivi hivi katika uchaguzi mkuu.

Hata Rais Magufuli ana sifa ya kupenda ukweli na ndiyo maana wajumbe wa CCM waliamua ndiye apeperushe bendera yao baada ya jina la Lowassa kukatwa tena na huyo Rais ambaye sasa wote tunajua kutoka kwa mrithi wake kuwa alikabidhi kila kitu hewa.

Naamini ndiyo maana hata hawa akina Mama Tibaijuka sasa wanasema ukweli ndani ya Bunge la CCM bila kuogopa maana angelikuwa ni Kikwete huyu mama angerudi matatani. Kwa kuwa Magufuli amesema mara nyingi msema kweli ni mpenzi wa Mungu basi hatutarajii huyu mama kusumbuliwa tena kwa ukweli wake. Ameokoa jahazi.

Na ninampongeza Waziri wa Fedha Dr Mpango ambaye naye alikubali hoja za Mama Tibaijuka ukweli wake ulipodhihirika. Ni dalili nzuri.
akili zako afadhali ya paka. tibaijuka alikiuka maadili ya uongozi wa umma. kiongozi wa umma yeyote kuna kiasi cha fedha ambacho akizidi anatakiwa atoe taarafa. yeye anakiri hadharani kuwa alidakishwa 1.6 bil. yeye kama kiongozi wa umma alitakiwa akaripoti juu ya kipato hicho kwenye mamlaka husika. hakufanya hivyo.halafu hapa unamlaumu Kikwete. hujiulizi kwa nini akina chenge, geleja walishughulikiwa na tume ya maadili? hujiulizi kwa nini maswi aliwajibika kwa katibu mkuu kiongozi? kwanini wale majaji waliwajibika kwa jaji chande? ulitaka waziri (aliyefeli kwenye ardhi) tibaijuaka akawajibike kwa mamayako na sio kwa mamlaka husika? hujiulizi kwa nini akina askofu kilaini na daniel yona hawakushughulikiwa?
usiandike vitu usivyokuwa na ujuzi navyo. kawaelemishe na hao mbwa wenzako!
 
Kumfunga mtu kwa kukosa risiti ni ajabu na hatuwezi kueleweka duniani, kasema kweli prof ,cha msingi ni wizara ya fedha/TRA kuhakikisha kila mfanyabiashara ana kuwa na hizo machine za EFDs, na ji jukumu la mfanya biashara kutoa hizo risiti kwa wateja wao, ingawa adhabu ndogo kama aliyoisema prof kwa ajiri ya kuwahimiza wananchi ni muhimu lakini isiwe pia kubwa, adhabu iwe kwa muuzaji na mnunuzi, lakini adhabu hizi zitofautiane.
Adhabu Upande wa mnunuzi: Kwamba kama muuzaji ikijulika hana EFDs /na hatoi risiti kwa wateja/wanunuzi kwa mara ya kwanza basi apewe verbal warning; mara ya pili apewe written warning+ fine kidogo of about TZH 10,000; mara ya tatu apewe final warning, final warning itabidi serikali/TRA must terminate her/his business license + Fine ya TZSH 20,000.
Pili, TRA iweke utaratibu, wa kukagua hizo machine za risiti kabla ya mfanyabiashara hajafungua biashara yake, weweke kwenye ofisi zote za biashara na TRA ngazi za wilaya hadi mikoani kuwa kigezo mojawapo ya kufungua biashara cha kwanza ni kuwa na hizo machine, pia TRA waende wakaangalia sehemu ambapo biashara imefunguliwa kujiridhisha kama machine zipo au laa kabla hawajatoa business license kwa wahusika.
Tatu, adhabu kwa mnunuzi: huyu ni muathirika, watu wengi hatuna muda wa kuulizia haya marisiti, wajibu mkubwa uko kwa muuzaji, yeye anatakiwa atoe tu hata kama mnunuzi atalitupa, lakini kwa kuwa tunataka kuhamasisha wananchi basi tuweke adhabu/fine kidogo tu , binafsi naona adhabu /fine isizidi TZSH 3000. Tusiweke adhabu kali wakati kipato cha wananchi wengi ni kidogo, itafika mahala watu wataogopa hata kununua vitu mchana kweupe waanze kwenda usiku kimadili.
Nne serikali iangalie jinsi ya kuwasaidia wafanyabiashara kwa ujumla ili waweze kuhamasika, sio busara kuweka adhabu kubwa ambazo ni mzigo mkubwa kwa wafanyabiashara hivyo kushindwa kumudu na kusababisha wengi wao kufunga biashara au kukumbia, na wakifanya hivyo je hiyo VAT/kodi mtakusanya kutoka wapi? .
Hongera Mh Tibaijuka kwa kuliona hilo la kufunga watu wasio kuwa na risiti, maana nchi yetu hii siku hizi badala ya kuangalia jinsi ya kuwasaidia wananchi tunajikita kutunga sheria za kuwafunga wananchi .
 
akili zako afadhali ya paka. tibaijuka alikiuka maadili ya uongozi wa umma. kiongozi wa umma yeyote kuna kiasi cha fedha ambacho akizidi anatakiwa atoe taarafa. yeye anakiri hadharani kuwa alidakishwa 1.6 bil. yeye kama kiongozi wa umma alitakiwa akaripoti juu ya kipato hicho kwenye mamlaka husika. hakufanya hivyo.halafu hapa unamlaumu Kikwete. hujiulizi kwa nini akina chenge, geleja walishughulikiwa na tume ya maadili? hujiulizi kwa nini maswi aliwajibika kwa katibu mkuu kiongozi? kwanini wale majaji waliwajibika kwa jaji chande? ulitaka waziri (aliyefeli kwenye ardhi) tibaijuaka akawajibike kwa mamayako na sio kwa mamlaka husika? hujiulizi kwa nini akina askofu kilaini na daniel yona hawakushughulikiwa?
usiandike vitu usivyokuwa na ujuzi navyo. kawaelemishe na hao mbwa wenzako!
akili zako afadhali ya paka. tibaijuka alikiuka maadili ya uongozi wa umma. kiongozi wa umma yeyote kuna kiasi cha fedha ambacho akizidi anatakiwa atoe taarafa. yeye anakiri hadharani kuwa alidakishwa 1.6 bil. yeye kama kiongozi wa umma alitakiwa akaripoti juu ya kipato hicho kwenye mamlaka husika. hakufanya hivyo.halafu hapa unamlaumu Kikwete. hujiulizi kwa nini akina chenge, geleja walishughulikiwa na tume ya maadili? hujiulizi kwa nini maswi aliwajibika kwa katibu mkuu kiongozi? kwanini wale majaji waliwajibika kwa jaji chande? ulitaka waziri (aliyefeli kwenye ardhi) tibaijuaka akawajibike kwa mamayako na sio kwa mamlaka husika? hujiulizi kwa nini akina askofu kilaini na daniel yona hawakushughulikiwa?
usiandike vitu usivyokuwa na ujuzi navyo. kawaelemishe na hao mbwa wenzako!
SHERIA YA MAADILI YENYEWE JIPU,HAKUNA KIONGOZI ANAYE RUHUSIWA KUPOKEA ZAIDI YA ELFU HAMSINI NA KUKAA NAZO.
HUU NDIO UNAFIKI UNAO LITAFUNA TAIFA.KWANI WEWE HUJAPOKEA MCHANGO ZAIDI YA HAPO UKAKAA NAO?
SASA TU ANAPOKEA MCHANGO WA SHULE, ANAUFIKISHA , SHULE INAKIRI IMEUPOKEA,WATOTO MASIKINI WANAO SOMESHWA WAPO,LAKINI KWA WIVU WETU BADO UNATAKA KUNG'ANG'ANIA HUYO NI FISADI HUYO NI MWIZI.

NDIO MANA NAWAPONGEZA WAPIGA KURA WANATUZIDI,HATA MIMI NILIAMAINI HUYU MAMA AMEKWISHA KUMBE LOL.

NA SIO YEYE PEKEYAKE NA WENGINE WOTE WALIO TUHUMIWA UONGO ''ESCROW YA MKOMBOZI"WAMEREJEA BUNGENI,MHE.CHEGE YUPO NI MWENYEKITI WA BUNGE,MHE NGEREJA YUMO ANAENDESHA KAMATI.

KWAIYO HILI LA KUTOA KAFARA VIONGOZI KADHAA KUSUDI UFICHE DHAMBI HUWEZI KULITETEA.
 
Wakichangia mchango wa Mama Tibaijuka baadhi walisema walimjua tu kama mama wa Mboga lakini sasa wamemkubali. Ni vizuri hatimaye wengi wameliona hilo.

Hiyo kauli ya mboga ilikuwa propaganda kumchafua huyu mama ili kuwaficha waliokwapua fedha za ESCROW hapo STANBIC. Yeye alisema alipewa fedha na ndugu yake Rugemalira akiamini ziko halali akazipeleka shuleni kwake ambapo anawafadhili watoto wengi masikini kusoma katika viwango vya juu.

Huyu mama aliitisha press conference na alimtaka Rais Kikwete na Serikali yake wathibitishe kama fedha ya Rugemalira siyo halali ili wazirejeshe Kikwete akasema ni halali siyo za Serikali. Lakini Kikwete huyo huyo ambaye Rais Magufuli amesema alimkabidhi kila kitu hewa akamfukuza uwaziri huyu mama peke yake tena hadharani pale Diamond. Kwa hiyo mama huyu alitumbuliwa bila kosa lolote.

Huyu mama mimi niliamini amekwisha lakini wapi? Akakaa kimya na kurudi jimboni kwao akagombea ubunge tena na kushinda pamoja na hila zote alizofanyiwa asirudi Bungeni.

Kumbe wananchi wake wamemuelewa kabla ya sisi wana mitandao kufanya hivyo kwa sababu humu jamvini tunalishwa propaganda za mafisadi halisi waliomchafua huyu Mama kwa sababu wanasema katika vikao ni mkweli haogopi kusema analoamini ni sahihi.

Kumbe hili ndilo lilimkera Kikwete akamfukuza kwenye vikao vyote alivyochaguliwa kihalali ikiwemo Kamati Kuu ya CCM. Kikwete alikuwa anaogopa ukweli wa Tibaijuka. Unauma.

Sasa angalia mchango wake mkubwa Bungeni kuwasaidia Watanzania na pia Serikali ya Magufuli wasitunge sheria mbovu.

Kaokoa wangapi ambao tungefungwa tu kwa kuwa tumeipoteza risiti. Kumbuka sheria ikishatungwa ndiyo basi. Hata Rais hawezi kukusaidia maana naye sharti atawale kwa mujibu wa sheria.

Ni rushwa ngapi zingetafunwa na watu wa TRA katika kutishia watu wasipowalipa watawapeleka gerezani. Kadhia ya polisi wa trafiki sasa ingelikuwa pia ya vijana wa TRA kuvizia watu kwenye migahawa na maduka wakikagua risiti za kielektroniki.

Kweli nimejifunza kwamba wananchi vijijini ni makini katika kuchagua viongozi kuliko sisi mijini. Hawatawaliwi na jazba au fitna. Wanampima mtu.

Imagine tungelipoteza hazina hii hivi hivi katika uchaguzi mkuu.

Hata Rais Magufuli ana sifa ya kupenda ukweli na ndiyo maana wajumbe wa CCM waliamua ndiye apeperushe bendera yao baada ya jina la Lowassa kukatwa tena na huyo Rais ambaye sasa wote tunajua kutoka kwa mrithi wake kuwa alikabidhi kila kitu hewa.

Naamini ndiyo maana hata hawa akina Mama Tibaijuka sasa wanasema ukweli ndani ya Bunge la CCM bila kuogopa maana angelikuwa ni Kikwete huyu mama angerudi matatani. Kwa kuwa Magufuli amesema mara nyingi msema kweli ni mpenzi wa Mungu basi hatutarajii huyu mama kusumbuliwa tena kwa ukweli wake. Ameokoa jahazi.

Na ninampongeza Waziri wa Fedha Dr Mpango ambaye naye alikubali hoja za Mama Tibaijuka ukweli wake ulipodhihirika. Ni dalili nzuri.
She has been voted in by her Haya people.
 
SHERIA YA MAADILI YENYEWE JIPU,HAKUNA KIONGOZI ANAYE RUHUSIWA KUPOKEA ZAIDI YA ELFU HAMSINI NA KUKAA NAZO.
HUU NDIO UNAFIKI UNAO LITAFUNA TAIFA.KWANI WEWE HUJAPOKEA MCHANGO ZAIDI YA HAPO UKAKAA NAO?
SASA TU ANAPOKEA MCHANGO WA SHULE, ANAUFIKISHA , SHULE INAKIRI IMEUPOKEA,WATOTO MASIKINI WANAO SOMESHWA WAPO,LAKINI KWA WIVU WETU BADO UNATAKA KUNG'ANG'ANIA HUYO NI FISADI HUYO NI MWIZI.

NDIO MANA NAWAPONGEZA WAPIGA KURA WANATUZIDI,HATA MIMI NILIAMAINI HUYU MAMA AMEKWISHA KUMBE LOL.

NA SIO YEYE PEKEYAKE NA WENGINE WOTE WALIO TUHUMIWA UONGO ''ESCROW YA MKOMBOZI"WAMEREJEA BUNGENI,MHE.CHEGE YUPO NI MWENYEKITI WA BUNGE,MHE NGEREJA YUMO ANAENDESHA KAMATI.

KWAIYO HILI LA KUTOA KAFARA VIONGOZI KADHAA KUSUDI UFICHE DHAMBI HUWEZI KULITETEA.
hebu niondolee upumbavu wako hapa. wewe unachotaka ni kuhalalisha kumkejeli Kikwete tu. hayo mengine ni porojo tu. kama hiyo sheria ipo Kikwete angefanyeje. sheria imetungwa huko bungeni. wakulaumiwa awe Kikwete? hivi unaakili kweli wewe? mbona wengi tu walikumbwa na hii kadhia na huwasemi? au unajifanya (mwenyewe) umesahau kuwa akina fredrick werema, maswi, sospeter muhongo mwininkulu na wengine wengi walipoteza ajira. umeliona la mhaya mwenzako tu.
upeleke uhaya wako tu. nyie mbwa wakabila sana nyie. unamtetea kisha wa home wakati unajua fika alikiuka taratibu.
 
Back
Top Bottom