Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 85,367
- 167,521
Basi utanipoteza maboya leo hadi nikome, muone
Sikupotezi ndio ukweli huo.
Basi utanipoteza maboya leo hadi nikome, muone
Utajua tu kama ni malaria au kifafa.Hahaha me nina malaria
Utajua tu kama ni malaria au kifafa.
Yani kwa hilo kosa..Anastahili busha aiseeKwahiyo unamshusha busha dota wako!!
Teh teh..Haya nasubiriDaddy unaanzaje kukosa bana? Na huku ulishanipromise gauni jamani looh
Teh teh..Haya nasubiriDaddy unaanzaje kukosa bana? Na huku ulishanipromise gauni jamani looh
Nipo aisee..Mbona umejificha sana
hahahhahahhahahahhahhaWa 1, wa 5 na wa 9 ndio wanatamanisha....bisha!!
Kwakweli nahitaji asali kama lita 5hivi ndio kitulie.
Haha ngoja ninunue lita 10 kabisa, maana na mimi kimenianza now
Halafu hii kama ya ukweli ukweli hivi
Hivi hilo neno hapo mwishoni sio tusi? Hebu nitafsirieni lina maana gani.
Jirani si unajua mi na familia yangu ni wapelelezi wa kujitegemea??..Basi tumejaribu kutrace jamvini kuona mwanzo wa haya mahusiano lakini hatujauona..Douta akasema haya yatakuwa yameanzia Pm..Na mzazi mwenzangu akaongezea kwa kusema,Kama yameanzia pm basi haya yatakuwa Mapenzi MubasharaSalama jirani?!, naona leo familia mko pamoja.
Inapendeza sana.
Teh teh..Sasa mkuu hela ya mahari unatafuta miaka..Mwanangu matunzo atapata kweli?natafuta ile mahari
hali ni ngumu sana
Jirani si unajua mi na familia yangu ni wapelelezi wa kujitegemea??..Basi tumejaribu kutrace jamvini kuona mwanzo wa haya mahusiano lakini hatujauona..Douta akasema haya yatakuwa yameanzia Pm..Na mzazi mwenzangu akaongezea kwa kusema,Kama yameanzia pm basi haya yatakuwa Mapenzi Mubashara
cc espy Heaven Sent
Teh teh..Sasa mkuu hela ya mahari unatafuta miaka..Mwanangu matunzo atapata kweli?
Sawa jirani..NangojaHahah!, jirani mbona umeniweka kwenye kona, hebu ngoja kwanza...