The most profitable business idea (ufugaji samaki)

BwanaSamaki012

Senior Member
Jan 13, 2023
152
194
Habari zenu wakuu

Kwanini na amini biashara ya ufugaji samaki ni fursa nzuri kwa mtu anayetaka kuwekeza?

Ni kwa sababu kuna upungufu mkubwa wa samaki kwenye vyanzo vya asili vya maji, wakati huo huo kuna ongezeko kubwa la idadi ya watu Duniani. Idadi ya watu duniani inaendelea kuongezeka, mahitaji ya samaki yanaongezeka, ambayo yanaweka shinikizo kwenye natural fish stock katika vyanzo vya maji kama bahari, maziwa na mito, hali hii inafanya mahitaji ya samaki kuwa makubwa kuliko uzalishaji/uzalishwaji wa samaki.

Sababu nyingine zinazo changia upungufu wa samaki ni uhalibifu wa mazingira ya samaki, mabadiliko ya hali ya hewa na uvunaji wa kupita kiasi (Over fishing) hii hutokea wakati samaki wanavuliwa kwa kasi zaidi kuliko wanavyoweza kuzaliana, sababu hizi kwa ujumla wake zimesababisha kupungua kwa idadi ya samaki na kupelekea matokeo hasi ya kiuchumi, kijamii, na kimazingira.

As we know ''In the world of scarce resource, globalization without new technology is unsustainable'' Wazungu wametuletea hii kitu waita ''Aquaculture Technology'' kama njia mbadala ya kukabiliana na upungufu wa Samaki kwa kutambua umuhimu wa samaki kama one of the best protein source.

Ufugaji samaki kibiashara ni fursa na njia ya pekee inayoweza kutatua changamoto kwa kuzalisha samaki kulingana na mahitaji ya watu na kutunza mazingira by decreasing fishing pressure on natural water bodies. Ufugaji wa samaki (aquaculture) unatoa fursa mbalimbali kwa wajasiriamal/wawekezaji kwa sababu unaweza kufanywa katika mazingira mbalimbali ikiwa ni pamoja na kwenye mabwawa, ziwani, baharini au kwenye tanki.

Maendeleo katika teknolojia, utafiti na support ya Serikali vinaendelea kuboresha ufanisi na kuchagiza maendeleo ya ufugaji wa samaki, hivyo kuwa eneo la kusisimua kwa wuwekezaji na ujasiriamali. Kwa ujumla, ufugaji wa samaki unatoa fursa ya pekee kwa wakulima na wajasiriamali kukidhi mahitaji yanayoongezeka ya samaki na kuunda biashara endelevu na yenye faida.

Samaki wanaofugwa kwa Tanzania ni Sato na Kambare, lakini wenye soko na waopendwa zaidi na watu wengi ni Sato (Tilapia). Mimi ni mtaalamu wa ufugaji wa samaki, I'm an aquaculture expert and i have been working in this industry for years now (almost 3 years) nina ifahamu vizuri hii industry in and out, hapo mwanzo nilikuwa farm manager ila kwa bahati mbaya mradi niliokuwa nikiusimamia mwanzo umesiamama kutokana na Muwekezaji wangu kupata matatizo.

Kwa sasa sijishughulishi moja na ufugaji samaki, nafanya kazi kwenye Kikampuni cha Utalii inayoniwezesha kusurvive lakini kutoka ndani ya moyo wangu natamani kurudi kufanya kazi ya taaluma yangu kwa sababu ndio kazi ninayoipenda na ndio kazi ambayo naweza kuifanya kwa moyo, ufanisi na weredi zaidi.

Changamoto kwangu ni mtaji, ni kweli ujuzi pamoja na uzoefu ninavyo lakini sina mtaji wa kutosha kuinitiate project kubwa, naomba nitumie platform hii kutafuta/kuwasiliana/kuungana/kuunganishwa na mtu atakayekuwa tayari kuwekeza kwenye biashara hii inayokuwa kwa kasi sana Tanzania na Duniani kwa ujumla.

Ninatafuta mwekezaji mwenye interest/passion na biashara ya aina hii ili nishirikiane nae, roho inaniuma kuona nina ujuzi na uzoefu wakutosha, mimi ni mtu mwenye potential lakini nasikitika nashindwa kumika inavyotakiwa pamoja na juhudi ninazofanya ili nikutane na wadau wanaoweza kunitumia.Nikipata sehemu au mtu sahihi na amini tunaweza kujenga biashara ya ufugaji wa samaki yenye mafanikio na yenye faida.

Ikiwa pia unamradi wako na unahitaji msimamizi mwenye uzoefu na weredi au unavutiwa kujifunza zaidi kuhusu kazi yangu na njia yangu ya ufugaji wa samaki, tafadhali usisite kuwasiliana na mimi. Nitafurahi kujadili fursa hii zaidi ili kuona jinsi tunavyoweza kufanya kazi pamoja kujenga biashara endelevu ya ufugaji wa samaki.

Samahani kama kuna makosa ya kiuandishi, nimeandika kwa haraka bila kuipitia vizuri, mimi sio hodari sana kwenye uandishi ila ni mtendaji hodari.

Mawasiliano and more details nitafute kupitia namba zifuatazo;

What'App no; +255758779170
 
Habari zenu wakuu

kwa nini na amini biashara ya ufugaji samaki ni fursa nzuri kwa mtu anayetaka kuwekeza?

Ni kwa sababu kuna upungufu mkubwa wa samaki kwenye vyanzo vya asili vya maji, wakati huo huo kuna ongezeko kubwa la idadi ya watu Duniani. Idadi ya watu duniani inaendelea kuongezeka, mahitaji ya samaki yanaongezeka, ambayo yanaweka shinikizo kwenye natural fish stock katika vyanzo vya maji kama bahari, maziwa na mito, hali hii inafanya mahitaji ya samaki kuwa makubwa kuliko uzalishaji/uzalishwaji wa samaki.

Sababu nyingine zinazo changia upungufu wa samaki ni uhalibifu wa mazingira ya samaki, mabadiliko ya hali ya hewa na uvunaji wa kupita kiasi (Over fishing) hii hutokea wakati samaki wanavuliwa kwa kasi zaidi kuliko wanavyoweza kuzaliana, sababu hizi kwa ujumla wake zimesababisha kupungua kwa idadi ya samaki na kupelekea matokeo hasi ya kiuchumi, kijamii, na kimazingira.

As we know ''In the world of scarce resource, globalization without new technology is unsustainable'' Wazungu wametuletea hii kitu waita ''Aquaculture Technology'' kama njia mbadala ya kukabiliana na upungufu wa Samaki kwa kutambua umuhimu wa samaki kama one of the best protein source.

Ufugaji samaki kibiashara ni fursa na njia ya pekee inayoweza kutatua changamoto kwa kuzalisha samaki kulingana na mahitaji ya watu na kutunza mazingira by decreasing fishing pressure on natural water bodies. Ufugaji wa samaki (aquaculture) unatoa fursa mbalimbali kwa wajasiriamal/wawekezaji kwa sababu unaweza kufanywa katika mazingira mbalimbali ikiwa ni pamoja na kwenye mabwawa, ziwani, baharini au kwenye tanki.

Maendeleo katika teknolojia, utafiti na support ya serikali vinaendelea kuboresha ufanisi na kuchagiza maendeleo ya ufugaji wa samaki, hivyo kuwa eneo la kusisimua kwa wuwekezaji na ujasiriamali. Kwa ujumla, ufugaji wa samaki unatoa fursa ya pekee kwa wakulima na wajasiriamali kukidhi mahitaji yanayoongezeka ya samaki na kuunda biashara endelevu na yenye faida.

Nitakutafuta mkuu
 
Karibu Mkuu
 
Attachments

  • TTP_DSC00311-1-768x512.jpg
    TTP_DSC00311-1-768x512.jpg
    63.6 KB · Views: 75
Safi sana kijana,
Ume elezea vyema ngoja wadau waje....
Ni wa TZ wachache sana ambao tumebadilisha fikra....
Na kua na spirit za kijasiliamali...
Nikutie moyo one day yes....
 
Pia kipindi flani bwana mdogo mmoja,
Alikua na matenk yake madogo ya maji akawa anafugia kambale mcheche...

So Kwa UZOEFU wako even in your small premise unaweza fuga samaki kibiashara??
 
Mtaalam, nahitaji hizi modern fish cages. Kwa uzoefu wako wa miaka 3 kwenye field, naweza kupata toka nchi gani kwa bei ya kizalendo?

Cage1.jpg

Cage2.jpg
 
Kinachovutia zaidi kwenye mradi huu aliozungumzia mtoa mada nafikiri pia ni urahisi katika ulishaji wa hao samaki, sidhani kama wana shida kwenye chakula kama ilivyokuwa kwa ufugaji wa kuku maanake niliwahi kusikia hata mbolea za wanyama wengine zinafaa kutumiwa kama chakula cha samaki(sina uhakika lakini labda mtoa mada atuthibitishie hili kwani anadai yeye ni expert kwenye project hii) So inawezekana faida ghafi kwenye mradi huu ikawa kubwa sana.
 
Habari zenu wakuu

kwa nini na amini biashara ya ufugaji samaki ni fursa nzuri kwa mtu anayetaka kuwekeza?

Ni kwa sababu kuna upungufu mkubwa wa samaki kwenye vyanzo vya asili vya maji, wakati huo huo kuna ongezeko kubwa la idadi ya watu Duniani. Idadi ya watu duniani inaendelea kuongezeka, mahitaji ya samaki yanaongezeka, ambayo yanaweka shinikizo kwenye natural fish stock katika vyanzo vya maji kama bahari, maziwa na mito, hali hii inafanya mahitaji ya samaki kuwa makubwa kuliko uzalishaji/uzalishwaji wa samaki.

Sababu nyingine zinazo changia upungufu wa samaki ni uhalibifu wa mazingira ya samaki, mabadiliko ya hali ya hewa na uvunaji wa kupita kiasi (Over fishing) hii hutokea wakati samaki wanavuliwa kwa kasi zaidi kuliko wanavyoweza kuzaliana, sababu hizi kwa ujumla wake zimesababisha kupungua kwa idadi ya samaki na kupelekea matokeo hasi ya kiuchumi, kijamii, na kimazingira.

As we know ''In the world of scarce resource, globalization without new technology is unsustainable'' Wazungu wametuletea hii kitu waita ''Aquaculture Technology'' kama njia mbadala ya kukabiliana na upungufu wa Samaki kwa kutambua umuhimu wa samaki kama one of the best protein source.

Ufugaji samaki kibiashara ni fursa na njia ya pekee inayoweza kutatua changamoto kwa kuzalisha samaki kulingana na mahitaji ya watu na kutunza mazingira by decreasing fishing pressure on natural water bodies. Ufugaji wa samaki (aquaculture) unatoa fursa mbalimbali kwa wajasiriamal/wawekezaji kwa sababu unaweza kufanywa katika mazingira mbalimbali ikiwa ni pamoja na kwenye mabwawa, ziwani, baharini au kwenye tanki.

Maendeleo katika teknolojia, utafiti na support ya serikali vinaendelea kuboresha ufanisi na kuchagiza maendeleo ya ufugaji wa samaki, hivyo kuwa eneo la kusisimua kwa wuwekezaji na ujasiriamali. Kwa ujumla, ufugaji wa samaki unatoa fursa ya pekee kwa wakulima na wajasiriamali kukidhi mahitaji yanayoongezeka ya samaki na kuunda biashara endelevu na yenye faida.

Samaki wanaofugwa kwa Tanzania ni Sato na Kambare, lakini wenye soko na waopendwa zaidi na watu wengi ni Sato (Tilapia). Mimi ni mtaalamu wa ufugaji wa samaki, I'm an aquaculture expert and i have been working in this industry for years now (almost 3 years) nina ifahamu vizuri hii industry in and out, hapo mwanzo nilikuwa farm manager ila kwa bahati mbaya mradi niliokuwa nikiusimamia mwanzo umesiamama kutokana na Muwekezaji wangu kupata matatizo.

Kwa sasa sijishughulishi moja na ufugaji samaki, nafanya kazi kwenye Kikampuni cha Utalii inayoniwezesha kusurvive lakini kutoka ndani ya moyo wangu natamani kurudi kufanya kazi ya taaluma yangu kwa sababu ndio kazi ninayoipenda na ndio kazi ambayo naweza kuifanya kwa moyo, ufanisi na weredi zaidi.

Changamoto kwangu ni mtaji, ni kweli ujuzi pamoja na uzoefu ninavyo lakini sina mtaji wa kutosha kuinitiate project kubwa, naomba nitumie platform hii kutafuta/kuwasiliana/kuungana/kuunganishwa na mtu atakayekuwa tayari kuwekeza kwenye biashara hii inayokuwa kwa kasi sana Tanzania na Duniani kwa ujumla.

Ninatafuta mwekezaji mwenye interest/passion na biashara ya aina hii ili nishirikiane nae, roho inaniuma kuona nina ujuzi na uzoefu wakutosha, mimi ni mtu mwenye potential lakini nasikitika nashindwa kumika inavyotakiwa pamoja na juhudi ninazofanya ili nikutane na wadau wanaoweza kunitumia.Nikipata sehemu au mtu sahihi na amini tunaweza kujenga biashara ya ufugaji wa samaki yenye mafanikio na yenye faida.

Ikiwa pia unamradi wako na unahitaji msimamizi mwenye uzoefu na weredi au unavutiwa kujifunza zaidi kuhusu kazi yangu na njia yangu ya ufugaji wa samaki, tafadhali usisite kuwasiliana na mimi. Nitafurahi kujadili fursa hii zaidi ili kuona jinsi tunavyoweza kufanya kazi pamoja kujenga biashara endelevu ya ufugaji wa samaki.

Samahani kama kuna makosa ya kiuandishi, nimeandika kwa haraka bila kuipitia vizuri, mimi sio hodari sana kwenye uandishi ila ni mtendaji hodari.

Mawasiliano and more details nitafute kupitia namba zifuatazo;

What'App no; +255758779170
nimesikiliza BBC kuna kijana anafuga sato uko mwanza
anazalisha tani nyingi sana shida ni ukiritimba sokoni
 
Pia kipindi flani bwana mdogo mmoja,
Alikua na matenk yake madogo ya maji akawa anafugia kambale mcheche...

So Kwa UZOEFU wako even in your small premise unaweza fuga samaki kibiashara??
Sasa hivi hii sector inakuwa kwa kasi sana facilities nyingi zinapatikana kwa urahisi, hii inafanya ufugaji uwe rahisi kama tu ufugaji wa kuku
 
nimesikiliza BBC kuna kijana anafuga sato uko mwanza
anazalisha tani nyingi sana shida ni ukiritimba sokoni
nimesikiliza BBC kuna kijana anafuga sato uko mwanza
anazalisha tani nyingi sana shida ni ukiritimba sokoni
nimesikiliza BBC kuna kijana anafuga sato uko mwanza
anazalisha tani nyingi sana shida ni ukiritimba sokoni
nimesikiliza BBC kuna kijana anafuga sato uko mwanza
anazalisha tani nyingi sana shida ni ukiritimba sokoni
Shida ni viongozi wa ovyo tulionao, CCM imetuletea viongozi wa ovyo sana
 
nimesikiliza BBC kuna kijana anafuga sato uko mwanza
anazalisha tani nyingi sana shida ni ukiritimba sokoni
Ni kweli kanda ya ziwa muamko ni mkubwa kuliko mikoa yote, Wawekezaji wengi wamewekeza wanafanya ufugaji wa vizimba (cage culture) ndani ya Ziwa Victoria
 
Back
Top Bottom