TFF mnashindwa vipi kumchukulia hatua Jerry Muro wa Yanga?

Sasa mbona tuhuma zake hujaziweka hapa, zaidi ya kubwabwaja tu.?
 
Sasa mbona tuhuma zake hujaziweka hapa, zaidi ya kubwabwaja tu.?
Umeingia kichwa kichwa.
Ulitakiwa Ulitakiwa usikilize kwanza clouds FM, sports round up. Msemaji Muro ka mwaga radhi huko eti yanga ni kubwa kuliko CAF, na blabla zingine plus ubishi kama ule wa vijiweni. Kama hukusikiliza sema wanachochangia wengine.
 
Yanga ndio wana makosa,wameitwa kwenye seminar awajaenda,wametumiwa form ya kusaini awajasaini kwasababu awajui hiyo form inahusu nini,na wangeenda kwenye hiyo seminar wangejua hiyo form namba 5 inahusu nini.

Na Yanga wakiendelea hv watatolewa kwenye haya mashindano.
Ndio maana mdosi akamfukuza Dr Jonas Tiboroa kwani sasa yadhihirisha klabu ya Yanga ni ya mtu mmoja tu.
 
Umeingia kichwa kichwa.
Ulitakiwa Ulitakiwa usikilize kwanza clouds FM, sports round up. Msemaji Muro ka mwaga radhi huko eti yanga ni kubwa kuliko CAF, na blabla zingine plus ubishi kama ule wa vijiweni. Kama hukusikiliza sema wanachochangia wengine.
Aksante mkuu, tena kama pana uwezekano huyu jamaa akastakiwa CAF kwani TFF wako chini yake.
 
jamaa ameniacha hoi apo . Anajua Caf ni TFF.
Anatumwa na mkubwa wake akidhani yatakayo mkuta watakuwa wote. Tena kasema eti CAF na TFF hawana haki 'right' ya kufanya biashara, sasa Yanga kama klabu inayo haki hiyo? Tatizo hapa ni mshiko kwani mdosi kwenye pesa ni makini mno. Kumbuka gharama za Uturuki kama zilikuwepo mkuu.
 
Yanga ndio alama ya mpira bongo kama ulikuwa hujui.ndio maana timu zote zikicheza na Yanga zinakamia kama fainali.waulize lambalamba
 
TFF ya malinz ni yanga tupu mule sasa ad kamati ya uongozi wote yanga so ndio maana jerry muro anafanya anavyotaka
 
Back
Top Bottom