Mohamed Ally alipigana na bondia Kelly Norton,huyu jamaa alikuwa na nguvu sana,ikabidi mkono mmoja ufungwe nyororo..alivyozidiwa na Ally ikabidi atumie ule mkono mwingine,alilusha konde Ally alilikwepa na kwenda kukonga nguzo za ulingo na kupinda vibaya sana...ikabidi nitafute huo mkondo nikakuta fiksi tupu...zamani bana..