goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,140
Halima mdee X ester bulaya kupewa adhabu na kunyimwa posho.
Ni kweli alishika pua. Ilikuwa ni moja ya vijitabia vyake vya ajabu. Jamaa alikuwa na a lot of strange habits! But hakuna aliye na ushahidi wa kumsikia akisema maneno hayo ya kunuka
Mohamed Ally alipigana na bondia Kelly Norton,huyu jamaa alikuwa na nguvu sana,ikabidi mkono mmoja ufungwe nyororo..alivyozidiwa na Ally ikabidi atumie ule mkono mwingine,alilusha konde Ally alilikwepa na kwenda kukonga nguzo za ulingo na kupinda vibaya sana...ikabidi nitafute huo mkondo nikakuta fiksi tupu...zamani bana..