Imetokea zaidi ya mara moja kwenye groups za whatssup kuwa mtu alituma sms ila wakaipata watu wasiotumia simu aina ya Sumsung na wale wanaotumia simu aina ya Sumsung hawakuipata.
Waliokutana na hali kama hiyo tukutane hapa. Inaonekana hizi simu zinaruka baadhi ya jumbe pale unapokuta jumbe nyingi zinapotumwa kwa wakati mmoja.