Tenzi za rohoni

King Jody

JF-Expert Member
Oct 8, 2022
1,671
3,144
Mwenyezi Mungu awabariki wote walioshiriki kutunga nyimbo hizi za TENZI ZA ROHONI.

Hizi ni baadhi tu ya nyimbo hizo zinazogusa moyo (Heart touching songs)
1.Mungu ni Pendo
2.Usinipite Mwokozi
3.Salama Rohoni
4.Yesu unipendaye
5.Mwamba wenye imara
6.Nataka nimjue Yesu
7.Bwana u sehemu yangu
8.Ni tabibu
9.Kumtegemea Mwokozi
10.Kaa nami
11.Bwana Mungu nashangaa kabisa.

Wakati mwingi unatembea au uko busy na shughuli zako unajikuta unaimba tu peke yako, unahisi amani ya ajabu ndani ya moyo wako.

Muwe na siku njema wana wa Mungu.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Japo nimeachana na ukristo toka 2007 ila tenzi za rohoni zinafariji sana.

Nyimbo hizo hasa namba 2,3 and 11 are fuel on Fire..
Hata Mimi niliacha niliacha dini ya ukristo mwaka 1997 nikaamua kumfuata Yesu. Nimeona maisha ya ushindi sana katika Muda wote huu. Excel karibu nawe umfuate Yesu. Kwa Yesu Kuna Raha, Kuna furaha, Kuna amani tele. Dini yeyote haiwezi kumsaidia mtu
 
Kweli kabsa kuna kuachana na ukristo kama dini na kumfuata Kristo kama Bwana na Mwokozi wa Maisha yako ni vitu viwili tofauti ? Mfuate Yesu hautajutia uhamuzi wako kamwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom