Tengeneza jini la kulinda shamba lako au nyumba kwa kutumia kuku mwekundu

Hivi hata hyo avatar yangu pia huogopi?
 
Sasa huuyo jini akisha maliza wabaya wako si ana kugeukia?
Usicheze na pepo wachafu, maajenti wa Ibilisi, hawayosheki na watakumaliza.
Mgeukie Yesu na matatizo yako yatakwisha.
 
Uhuu ushirikina , HAMNA kitu km iko ktk uislam, ,,nyi ndio mnaosababisha uislam ionekane dini ya ovyo,,,,yaan umshindilie kuku sindano akiwa bado yu hai huku unasoma Maneno ya Mungu,,,ni shirki kubwa kabisa
 
Na wakafuata yale waliyozua Mashaytwaan kuuzulia ufalme wa Sulaymaan. Na wala Sulaymaan hakukufuru, bali Mashaytwaan ndio waliokufuru, wakiwafundisha watu uchawi, na yaliyoteremshwa kwa Malaika wawili, Haaruta na Maaruta katika Baabil. Wala hao hawakumfundisha yeyote mpaka wamwambie: Hakika sisi ni mtihani; basi usikufuru. Wakajifunza kwa hao wawili yale ya kumfarikisha mtu na mkewe. Wala hawawezi kumdhuru mtu ila kwa kutaka Allaah. Na wanajifunza yatayo wadhuru wala hayawanufaishi. Na hakika wanajua kwamba aliye khiari haya hatakuwa na fungu lolote katika Akhera. Na hakika ni kiovu mno walichojiuzia nafsi zao laiti wangelijua” (al-Baqarah [2]: 102
 
Uchawi sio mzuri jamani
 
Ilo zoez unafanyia mabwepande mkuuu polini
 
Mleta mada

Sasa mbona husemi hilo Jini
Litakula nini
Litakunywa nini
Litalala wapi
Litashinda wapi
Likikasirika utalizuiaje lisikudhuru
Ukiliudhi je unaliombaje msamaha
Likimaliza kazi utalipeleka wapi
Likitaka mke au mume utafanyeje
Kwanini wewe hulitumii kupata pesa maana unaonekana ni maskini wa kutupwa
Pole kwa kuchagua uchawi utateseka hadi kifo chako na huwezi kujinasua
Teseka peke yako humu humpati mpumbavu wa kukusikiliza na kukufuatisha na ushirikina wako

Uchawi ni Ulofa
 
Uhuu ushirikina , HAMNA kitu km iko ktk uislam, ,,nyi ndio mnaosababisha uislam ionekane dini ya ovyo,,,,yaan umshindilie kuku sindano akiwa bado yu hai huku unasoma Maneno ya Mungu,,,ni shirki kubwa kabisa
Izi sindano ni zipi za kushonea viatu au za mahospitalini
 
We bwege kweli yaani ununue jogoo kwa takribani elfu 20 halafu uanze kumchezea sijui kumdunga masindano mi wahlah nikikukuta unafanya hivyo nakutindua.
 
Uhuu ushirikina , HAMNA kitu km iko ktk uislam, ,,nyi ndio mnaosababisha uislam ionekane dini ya ovyo,,,,yaan umshindilie kuku sindano akiwa bado yu hai huku unasoma Maneno ya Mungu,,,ni shirki kubwa kabisa
lakini si ni kweli ukisoma hizo aya kutoka katika quran jini anatokea au jamaa amedanganya???
 
Khaaaaaaa!
 
Akili za kijinga hizo na ndio imani kubwa ya watu masikini jini sijui uchawi umewakamata wajinga wachache huko unajitangaza kwa kukosa maarifa ya kutafuta hela kwa njia nzuri wewe hauna tofauti na washa washa nenda huko na imani za kimasikini baada ya kufanya kazi upo na huu upuuzi
 
lakini si ni kweli ukisoma hizo aya kutoka katika quran jini anatokea au jamaa amedanganya???
Amedanganya.

Tena amedanganya kuliko kukubwa kabisa.

Amma kwa hakika huyu ni mshirikina na mchawi.

Na hukumu ya washirikina na wachawi ipo wazi kabisa.
 
Mkiambiwa mnafuga majini naashatwain mnakuja juu

Kwa imani yangu nikiamini kwamba shamba langu halitavamiwa ni kweli halitavamiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…