mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 10,835
- 20,496
Hivi hata hyo avatar yangu pia huogopi?Mkuu;
Naona una kitu kinakusumbua weye sio bure. We ni nani na umeupata wapi huo ujasiri wa kuthubutu kuniambia mimi ati; Rekebisha kauli zako!!!!! Nisiporekebisha utani je?? Nakuambia; We, rekebisha kauli zako. Tena haraka sana. Usiwe kama yule mpanki wa NK anayemtishia Mmarekani aliyekwisha ingia sebuleni kwake ati bado anaamini atampiga. Mimi sikuogopi ng'oo na huo uchawi wako. Jaribu uone