malisak
JF-Expert Member
- Mar 16, 2006
- 694
- 773
Nimeuliza maana mabasi mengi nijuavyo hua yana buti kwa ajili ya mizigoHayo mabasi niya abiria jamani, ebu tukue waelewa tu kwa manufaa na maendeleo ya miundombinu ya nchi yetu
Nimeuliza maana mabasi mengi nijuavyo hua yana buti kwa ajili ya mizigoHayo mabasi niya abiria jamani, ebu tukue waelewa tu kwa manufaa na maendeleo ya miundombinu ya nchi yetu
Walikuwa wanapanda nayo na usinitukane Wala nn.... Jibu wanatakiwa wapande wapi ndipo swali langu na km unafaham wa kukutosha usingejibuMkuu....
Ebu jaribu kufungua uwezo wako wa kufikiria aiseeee.....
Kwahiyo kabla ya mabasi ya mwendokasi walikua wanapandisha hayo matenga ya kuku kwenye nini
Au nawewe unajitoa ufaham ilimradi tu uonekane umeweka bandiko
Maana tatizo ni tenga la kuku ndani ya basi,ndio nimeona mada imesema hivyo ina maana wakiwekwa chini ya buti ni sahihi na ustarabu ama neneHayo mabasi niya abiria jamani, ebu tukue waelewa tu kwa manufaa na maendeleo ya miundombinu ya nchi yetu
Ustarabu wa mzungu ni kujiweka utupu mbele ya hadhira
Una hekima sanaAhmad;
Mambo mengine naona ka upo mbali sana na ustaarab! Wawezaje kulinganisha utupu wa mzungu ambaye hukuweza kuweka hiyo picha hapa ulinganishe na tenga la kuku lililooneshwa live ndani ya bas la mwendo kasi? Haya mabasi hayakuletwa kwa ajili ya kubebea aina hiyo ya mizigo kaka, ndo maana yakawekewa kamba za kujishika ka ukisimama au kiti uketi. Jiulize, je, kuna mahali pa kuweka tenga?? Usitoke nje ya mada tafadhali. Utupu na tenga la kuku ni vitu mbili mbali kabisa
Maana tatizo ni tenga la kuku ndani ya basi,ndio nimeona mada imesema hivyo ina maana wakiwekwa chini ya buti ni sahihi na ustarabu ama nene
Ooooohhhh haha kaka maana sijayaonapo bado wala kupanda nikirudi nitaangalia vizuri
Walikuwa wanapanda nayo na usinitukane Wala nn.... Jibu wanatakiwa wapande wapi ndipo swali langu na km unafaham wa kukutosha usingejibu
Nadhani kwa vile wao ndiyo waliotengeneza mabasi.Una point ila uliposema wazungu watufundishe ustarabu nikatambua nawe ni wale wale mabigirwa wa fikra mgando. mzungu ana ustarabu gani wewe zuzu?
Acha kiherehere wewe. Wewe uliambiwa mendokasi inabeba watu pekee bila mizigo?Naona bado tunahitaji kuwaleta wazungu kutufundisha ustaraabu.
Hivi haya mabasi ya mwendo kasi watumishi wake wana uelewa gani mpka waruhusu kuku kuingizwa ndani ya gari.
au tunataka kila kitu magufuli atwambie!
View attachment 354818
Ustaarabu hakuna sawa ila si mpk tufunzwe na wazungu
Hayo mabasi niya abiria jamani, ebu tukue waelewa tu kwa manufaa na maendeleo ya miundombinu ya nchi yetu
wako trained hao hawachafui mazingira kwenye mabasi.
Kweli Dogo kakosea sana alitakiwa aseme Mwarabu tufundishe ustaarabuUna point ila uliposema wazungu watufundishe ustarabu nikatambua nawe ni wale wale mabigirwa wa fikra mgando. mzungu ana ustarabu gani wewe zuzu?