Yaani umeshindwa kumuona huyo mtu aifungue? Au naye kasahau password? Maana sioni sababu ya kuflash simu wakati mtu aliyeieekea password yupo. Hata kama kakuudhi mfate akufungulie tu mmalizane
Kuwipe data ni another case tatizo ni kuwa jamaa alifunga simu kwa ku2mia laini unaweza kurestore mpaka ukachoka cha msingi mwombe jamaa password au amezisahau?Kwa muda ambao nilimuacha nayo angeweza kuifungua na mpaka ninalitoa hili tatizo hapa inamaana nimeshafanya kila njia za kuwipe data lakini bado.
Kuna mtu nilimuachia,Nilipoichukua kutoka kwake ikaanza kunidai Privancy Protection Password.Nikaona sio ishu sana kuepusha shari Kupanea na kumwaga mbegu shamba ni kubwa kuiflash tu maana kila tarakimu niliyojaribu kuingiza ilikataa.Sasa nimeiflash ila tatizo lipo palepale,Kwa ambae anafahamu universal Password za ku-unlock simu yangu anipatie msaada tafadhali.
"Ahsante"