NkumbiSon JF-Expert Member Sep 22, 2013 2,399 3,332 Apr 8, 2016 #1 Hii cm nikiopen kamera inafungua ya mbele tuu so picha ni kujiselfie tuu. Msaada wenu, mi nimeirestore lakini bilabila je niiflash kabisa kwa pc au kuna njia nyingine?
Hii cm nikiopen kamera inafungua ya mbele tuu so picha ni kujiselfie tuu. Msaada wenu, mi nimeirestore lakini bilabila je niiflash kabisa kwa pc au kuna njia nyingine?
mzalendo.com JF-Expert Member Aug 2, 2015 427 301 Apr 8, 2016 #3 Tatizo hardware,badilisha camera weka nyingne
NkumbiSon JF-Expert Member Sep 22, 2013 2,399 3,332 Apr 8, 2016 Thread starter #4 PetterIsuti said: Uko wapi? Click to expand... Dar hii hii ndg
NkumbiSon JF-Expert Member Sep 22, 2013 2,399 3,332 Apr 8, 2016 Thread starter #5 mzalendo.com said: Tatizo hardware,badilisha camera weka nyingne Click to expand... Ndio hadi software ya kugeuza camera isionekane?
mzalendo.com said: Tatizo hardware,badilisha camera weka nyingne Click to expand... Ndio hadi software ya kugeuza camera isionekane?
Bravo Engliash Senior Member Jul 29, 2012 127 54 Apr 8, 2016 #6 Tafuta fundi wa uhakika aifungue na kurekebisha camera inaweza kuwa lens imesogea. Tecno H6 yangu ilisumbua camera, ilikuwa haiconnect kabisa, fundi akaifungua simu na kuweka sawa camera ikawa sawa.
Tafuta fundi wa uhakika aifungue na kurekebisha camera inaweza kuwa lens imesogea. Tecno H6 yangu ilisumbua camera, ilikuwa haiconnect kabisa, fundi akaifungua simu na kuweka sawa camera ikawa sawa.