dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,203
- 52,790
Kiongozi; uko sahihi. Huwa nawashangaa wajinga humu wanaotaka kumfananisha Kim na Gaddafi au Saddam! Kim "karithi" utawala kwa babaye utamlinganisha kweli na Gaddafi au Saddam waliosota jangwani miaka kufika walipofika? Bonge nyanya lile lisilojua hata njaa inaumaje! Vyovyote iwavyo, wananchi masikini wa N.K. wanaenda kuona enzi mpya kama wenzao wa S.K. wenye maisha ya staha.Kiduku hana ubavu wa kuipiga US technically or strategically....vita ni combination ya many factors of which NK ni immature and incompetent in warfare ukilinganisha na The US