Kuna wale wa Subaru niliwaanzishia thread humu ikafikia wahusika wakanyooshwa. Kwa miezi kadhaa walitulia sasa hivi kwa mbali wanasikika. Usiwe na shaka watanyooshwa.
Nafikiri hujui mambo izi... ALtezza sio street racing car? lol! integra na celica are hahahah ebana apo basi mkuuTumechoka na kelele za gari zenu. Mmefunga mufflers kubwa basi shida tupu hapa mtaani.
Kwanza tradtionally Alteeza siyo perfect car for street racing. Vialteeza vyenyewe vimechoka na vinaacha unga wa quickfill barabarani.
I used to be underground street racer back in the 1990s in the streets of east Los Angeles. Back then gari Za street racing zilikuwa Mustang, Acura integra, Eclipse, Talon, Charger, Celica. Camaro etc
Mnatupigia kelele zisizo na msingi na mmekuwa kero kubwa hasa on weekends.
Kama mnataka racing nendeni njia ya Msata.
Kamanda Sirro uko wapi?
hamna toyota naichukia kama altezza ...gari mbaya sana afu wenye hivi vigari na mwenyewe wanaendesha wanaona wako na sport car kuna kipindi natoka misele nakuta boya mmoja yuko na teza kafunga njia afu anapiga ma race kibao ...kwanza hailii vizuri hata uweke mafla kubwa kiasi gani ( et wanataka iga subaru boxer engine )
forester ikiwa na BOV muffler kubwa ikipigwa race vijana wote vijiwen ni mlunzi tu
mnataka gari ya race ongezeen chukueni subaru ila tezza sio sport car kwa kweli
forester ikiwa na BOV muffler kubwa ikipigwa race vijana wote vijiwen ni mlunzi tu
2jz inajua kazi sio boxer kujamba jamaba
Ulikuwa hujui kama Altezza inayo 2jz?Altezza ina 2jz?
That is the point..... you can gain more with 2jz.... huwa nashangaa mtu anaposema eti altezza sio street racing car, huyo mtu hazijui engine. hebu nitajie street racer gani hajabust engine? Ivi ulifikiri izo BOV mnazosema unafikiri ni natural aspirated engine? hizo sounds zenu is all about boosting, bila boosting hizo tsu tsu tsu huziskii......hio video ni 2jz imebustiwa mpaka basi....
altezza gita ina 2jzAltezza ina 2jz?
tezza ni sports car, just on the low end.
rs200 6mt with the Torsen LSD is basically a drift ready car
yes low end, in both performance and costLow end?
2jzgte ya supra ina >300hpulichopenda kwa 2jz ni cc zake ee?? 3L afu 217hp ndo nini sa??
yes low end, in both performance and cost