TCRA, Kipindi cha Tega Nikutege cha TV1 hakifai

1: Azam tv

2: Saa 8:00 hadi 30

3: Wenye kipindi ndiyo wanao wapagia mda wa kwenda!

4: Wanaonekana kwenye tv na wana introduce mwanaume atakae mwanga sera zitakazo mvutia huyo kahaba anajiopolea

5: Wanadhaminiwa na tv kuanzia malazi ya hotel (5 star hotel) msosi hadi kinga (condom) mpaka usafiri

NB: Naomba nisiulizwe swali

Asante sana mkuu, bado swali moja juu ya vigezo na masharti, inakuwaje kuwaje unapata muda wa kushiriki?
 
1: Azam tv

2: Saa 8:00 hadi 30

3: Wenye kipindi ndiyo wanao wapagia mda wa kwenda!

4: Wanaonekana kwenye tv na wana introduce mwanaume atakae mwanga sera zitakazo mvutia huyo kahaba anajiopolea

5: Wanadhaminiwa na tv kuanzia malazi ya hotel (5 star hotel) msosi hadi kinga (condom) mpaka usafiri

NB: Naomba nisiulizwe swali
Mimi nimekiona Tv1 ya Star Times
 
Hili li TV ni la lina mavipindi ya ajabu ajabu sana sijui ni la ki freemasoni?
 
TV1 na TCRS tuondoleeni hiki kipindi.
Kuna kipindi kinaitwa ‘tega nikutege’. Kipo TV1. Kinarushwa jumapili kuanzia saa mbili.

Kwamba wanachukukiwa makahaba wanakuja kugombaniwa na vijana kwa njia ya kujibu maswali. Mshindi anapewa offer ya kwenda kulala na huyo kahaba kwenye hoteli atakayopenda! Kwa hiyo kila wiki vijana watagombania nafasi hii.

Tulipofika sasa si sawa! Kwa hiyo TCRS na TV1 mko radhi na huu upuuzi wenye lengo la kutuharibia taifa? Wazazi tutakaaje na watoto wetu kuwafundisha maadili ikiwa taasisi zetu zinakubaliana na huu ukiukwaji wa maadili? Tuungane kwa nguvu kukemea huu upuuzi.

TCRS na TV1 ondoeni hicho kipindi!
 
Kweli hicho kipindi maudhui yake sio mazuri kwa mila zetu
Japo mwisho wa kipindi wanasema hawahusiki na kitakachoendelea baina ya hao washindi.still wanapotosha vijana kwa kuwachochea wafanye ngono Zembe
 
13007113_946122942151094_7968393944623966606_n.jpg
 
TV1 NA TCRATUONDOLEENI HIKI KIPINDI.

Kuna kipindi kinaitwa TEGA NIKUTEGE. Kipo TV1. Kinarushwa jumapili kuanzia saa mbili. Kwamba wanachukukiwa MAKAHABA wanakuja kugombaniwa na vijana kwa njia ya kujibu maswali. Mshindi anapewa offer YA KWENDA KULALA NA HUYO KAHABA KWENYE HOTELI ATAKAYOPENDA! Kwa hiyo kila wiki vijana watagombania nafasi hii. Tulipofika sasa si sawa! Kwa hiyo TCRA na TV1 mko radhi na huu upuuzi wenye lengo la kutuharibia Taifa? Wazazi tutakaaje na watoto wetu kuwafundisha maadili ikiwa taasisi zet zinakubaliana na huu ukiukwaji wa maadili?Tuungane kwa nguvu kukemea huu upuuzi. TVI NA TCRS ONDOENI HICHO KIPINDI!

TAFADHALI SAMBAZA UJUMBE HUU KADIRI UWEZAVYO!
Mambo madogooooo unayakuza mpaka basi
 
Warusi walitegwa na serikali yao kwa pombe ya vodka. Lakini Watanzania wao zinna ndio mtego wao. Hatareee
 
Mambo madogooooo unayakuza mpaka basi
Si mambo madogo.Wewe huoni kua si katika mila za kitanzania??kama makahaba yanafurushwa mitaani iweje leo yawekwe kwenye chanel ya TV.Mimi niliwahi kuona kipindi.Kahaba anachagua mwenye kazi.Tv inadhamin first date ,Malazi,chakula na anasa zote hao wazinifu wawili.
 
TV1 NA TCRATUONDOLEENI HIKI KIPINDI.

Kuna kipindi kinaitwa TEGA NIKUTEGE. Kipo TV1. Kinarushwa jumapili kuanzia saa mbili. Kwamba wanachukukiwa MAKAHABA wanakuja kugombaniwa na vijana kwa njia ya kujibu maswali. Mshindi anapewa offer YA KWENDA KULALA NA HUYO KAHABA KWENYE HOTELI ATAKAYOPENDA! Kwa hiyo kila wiki vijana watagombania nafasi hii. Tulipofika sasa si sawa! Kwa hiyo TCRA na TV1 mko radhi na huu upuuzi wenye lengo la kutuharibia Taifa? Wazazi tutakaaje na watoto wetu kuwafundisha maadili ikiwa taasisi zet zinakubaliana na huu ukiukwaji wa maadili?Tuungane kwa nguvu kukemea huu upuuzi. TVI NA TCRS ONDOENI HICHO KIPINDI!

TAFADHALI SAMBAZA UJUMBE HUU KADIRI UWEZAVYO!
...........

Mtoa mada UME-PANIC, Kipindi cha TEGA NIKUTEGE ni kipindi cha mchezo wa karata, kipindi hiki kinawakutanisha vijana wa kiume na wa kike ambapo Binti huchagua kijana wa kwenda nae DATE kwa siku watakayochagua wao. Au MTOA mada haufaham maana ya DATE???????

Dating is a part of process whereby two people meet socially for companionship or refers to the act of meeting and engaging in some mutually agreed upon social activity in public, together, as a couple.

Mwisho wa kipindi kuna maelezo TV1 wametoa wakisisiza, chochote kitakachofanyika nje ya Utaratibu wao wa TV1 walioupanga wao hawatahusika.

Tatizo hapa ni Uelewa na fikra mgando!!!!!!!
 
Back
Top Bottom