TBT: Tarehe kama ya leo 12 October 1995 Tupac alitoka gerezani alikotumikia kwa miezi 9

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,463
25,384
Tupac Shakur alikuwa mwimbaji, rapa, na mwigizaji maarufu wa Marekani. Alizaliwa tarehe 16 Juni 1971 na kufariki dunia tarehe 13 Septemba 1996. Alikuwa mmoja wa wasanii mashuhuri sana katika muziki wa hip-hop na rap.

Tupac Shakur alifungwa gerezani katika gereza la Clinton Correctional Facility huko Dannemora, New York. Alifungwa kwa kosa la kumpiga mtu ambaye alimfikiria alihusika katika kushambuliwa kwake.Tupac alikiuka masharti ya dhamana nakupelekea kufungwa.

Alihukumiwa kutumikia kifungo cha miezi 9 gerezani kuanzia Februari 14, 1995, na akatoka gerezani tarehe 12 Oktoba 1995.

Cha kwanza kabisa wakati anatoka gerezani alihitaji glass ya alize hiyo anayokunywa hapo pichani ,pesa zake hizo alizoshika ambazo alikuwa akitabasamu na kucheka muda wote alipozishika , pia magari yake ya kifahari yaliyokuwa yanamsubiri nje kumpeleka uwanja wa ndege kwa ajili ya kwenda calfonia.

Tupac pia alihitaji kukutana na mama yake mara moja lakini alivyoambiwa yupo mbali fasta akabadilisha gia angani na kuamua kwenda moja kwa moja studio.

Jamaa alikuwa serious sana na kazi kuliko watu wanavyodhani .

Mpaka anafariki , Tupac alishakamilisha albums zaidi ya 14 nyimbo zaidi ya 490, na kucheza movies zaidi ya 7 naa kuwa na albums 7 zilizoongoza mauzo ya hali ya juu kuliko rapa yeyote.

1697139494909.jpg

1697139489518.jpg
1697139472908.jpg
1697139457851.jpg
 
View attachment 2780345

View attachment 2780347View attachment 2780348View attachment 2780349
Correction. Tupac alifungwa kwa kosa la shambulio la mwili dhidi ya mwanamama Ayana Jackson na sio kupiga mtu kama ulivyoripoti. Alihukumiwa kifungo cha kati ya miaka 1.5 mpaka 4. Alitoka baada ya Suge Knight kumlipia bond ya USD 1.4m ili awe nje akisubiri rufaa yake. Baada ya Suge kumlipia bond, Tupac alisaini record deal na Deathrow.
 
Back
Top Bottom