TBC ndani ya Startimes vipi?

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,700
1,721
Wakuu, tumehabarishwa kuwa chombo chetu cha habari cha Taifa yaani TBC kimepewa kibali cha kuonesha michuano ya FIFA ya kombe la dunia huko Qartar.

Sawa, jana kweli walianza ila nina mambo mawili hapa.

1. Nilitumia king'amuzi cha Azam ni uonekano ulikuwa mzuri. Nikahamia king'amuzi cha Startimes, duh! Picha zikawa na mgando fulani hivi. Sasa inakuwaje?

2. Je, katika kibali hicho kuna mechi hawatakiwi kutuonesha? Maana ratiba inaonesha kwa hatua hii ya mwanzo pana mechi zisizopungua tatu kila siku.

Leo hawajaonesha mechi ya saa kumi jioni hii kati ya England na Iran.
 
Tanesco wakiwa wapi
Uwe na dstv na uwe na generator
Tanesco huyo hapo, anakucheki.

Norbit 01.png
 
Back
Top Bottom