Sanyambila
JF-Expert Member
- Jan 24, 2018
- 368
- 501
Sasa hapa unawapongeza TBC kwa lipi? Wamefanya effort gani?WORLD CUP BROADCASTING RIGHTS Inataka Television za Taifa tu ndo wawe kipaumbele.
🤔🤔🤔🤔🤔🤔😉Hiyo quality ya picha ya TBC si itatuletea kombe la dunia la vikatuni?
TBC 1 mchezaji akielekea kufunga goli wanakatiza wanakuletea kipindi cha mama yuko kazini.Habari wadau wa michezo!!
Kuna tetesi au taarifa ya kweli ikihusu TBC1 kuonyesha mechi za kombe la dunia nchini Qatar mechi takribani 28 ni jambo la kupongezwa saana.
TV'S Kama KBC, UBC,MBC YA MALAWI hizo TV'S kila kombe la dunia wanaonyesha ila TBC tu ndo huwa wana tuweka gizani, hata mechi za taifa stars zilikuwa hazionyeshwi na TBC sasa
WORLD CUP BROADCASTING RIGHTS Inataka Television za Taifa tu ndo wawe kipaumbele kurusha mitanange hiyo, sasa hapa TBC MSILALE ndo maana hata AZAM TV wamekosa rights ya kurusha matangazo hayo
Kama habari hizi ni kweli kongore saana kwenu TBC ila kama ni uvumi tu mtakuwa hamjatutendea haki watanzania maana mnahisi sisi tunataka muonyeshe tu mambo ya siasa tu , hapana hata burudani mzipe kipaumbele kama mipira, ndondi,riadha ikiwa tu ni timu yoyote ya taifa inacheza onyesheni kuna maana gani ya kuwa chombo cha taifa halafu kimejikita zaidi kwenye ziara za rais, mawaziri,bunge ila siyo burudani pendwa kama mipira
Kila raheli TBC1 UKWELI NA HAKIKA⚘⚘⚽️⚽️⚽️🏆🏆🏆
Huna akiliTBC 1 mchezaji akielekea kufunga goli wanakatiza wanakuletea kipindi cha mama yuko kazini.
BrazilKuna asilimia 99 tbc wakaonyesha haya mashindano.
Dahhh imeniuma kumkosa Mwalimu kASHASHA.
Nilimfuatilia sana Redioni TBC taifa.
Nilimtazama kidogo sana TBC
Kombe la Dunia 2014 Blazil.
Pia kombe la Dunia 2018...
Wamesema kama tbc1 kutakuwa na tukio la kitaifa watahamishia mechi tbc2Wanaweza kukatisha mechi live na kujiunga na mkutano wa siasa. Husiwaamini Sana hao.
Kama TV yako ipo vizuri kwenye maswala ya picha haita pata shida, kama TV yako ni Smart TV HDHiyo quality ya picha ya TBC si itatuletea kombe la dunia la vikatuni?
Za kazi gani sasa😂😂😂😂. Yaani kuangalia TBC nako unahitaji akili?Huna akili
TV hata iweje kama broadcaster anarudha picha mbovu, utaiona kwa ubovu huo huoKama TV yako ipo vizuri kwenye maswala ya picha haita pata shida, kama TV yako ni Smart TV HD
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Ilishaandaliwa TBC2 kwa ajili ya michezo hyoTBC wataachaje kurusha vipindi vya kumsifia Mama Samia akiupiga mwingi ili muda huo waonyeshe Kombe la dunia?
Hivi mnawajua kweli TBC?