Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,296
- 1,008
Tafuta mtu ayanyonye au kuyakandakanda
UnaendelejeHabari wanaJF,
Msaada jamani, Mimi ni binti wa miaka 20. Mara nyingi sana chuchu huwa zinaniwasha. Je tatizo hili linasababishwa na nini?
Natanguliza shukrani