Taratiiiibu tunaanza kumkumbuka Lowassa

Unachosema ni sahihi kabisa, kwa mtu mwenye akili timamu asiyekuwa shabiki wa chama tu atakuelewa.
sahihi kwamba unamkimbukaa El kwa lipi mpiga dili mkubwa kabisa hajawahi kutokea na hata tokea tena milele. Wacheni upambe nuksi. Mtakuwa tuu
 
Hapa 400, Bakhresa 500, NIDA 597 jumla kuu 1,497. Ajira zilizo sitishwa halafu hataki mzururaji, hataki watu wacheze pool maana inaingiza kipato, halafu anajitapa kwa kuvu TANZANIA YENYE NEEMA YAJA, loo labda kwa njia za kichawi maana huyu mtu ni msukuma na hizi nddio imani zao, tusubiri kukuta hela vitandani tuamkapo asubuhi, Magufuli hoyeeee.
Sio msukuma mrangi bwana wale wanajua zaidi uchawi maana wao wenyewe maendeleo ni kucheza pool na kulima ni matatizo
 
Mradi wa dege eco village umesimama na pale kulikuwa na vijana wa kitanzania wasiopungua 400 inamaana mpaka sasa hawana kibarua.

Mzigo wa kwanza huo wale waliokua wamekopa ela na kuwekeza kwenye pool wajipatie riziki nayo imepigwa stop.

Mzigo wa pili kulingana na mwenendo wa uchumi wetu kuna hatari ya makampuni yetu kupunguza wafanyakazi (bakhressa yuko mbioni)
nida kapunguza vijana kibao na sijui kipindi anaajiri akuzingatia mahitaji ama la uchumi supermarket hoi. Sasa group lote hili linaenda wapi?

Mwenye kaya kasema wakalime je mashamba wanayo?
na kipindi cha kampeni alikua akitoa ahadi za kufufua viwanda je viko wapi na ilifikia hatua mpaka akawa anaapa kwa jina la mungu atashughulikia ajira za vijana leo kawageuka kulikoni?

Mkuu fikiria kwa umakini uyafanyayo maana sijaona manufaa ya wewe kutumbua vipele vya joto wakati majipu unayaacha(escrow) hilo tu hayo mengine utayajua mwenyewe na usidili na dar tu wakati kuna morogoro pale viwanda vya asante moproco na komoa soap watu wanafugia mbuzi. hawa vijana wa moro unajua walipo?

Mkuu kumbuka awa wanaokusifia kutwa kuchwa ndio wa kwanza kulalama utakapoanza kuvurunda 2020 sio mbali watakaokuchukia ni wengi kuliko watakaokupenda.

Kumbuka watu awaendi kwa ahadi hewa wengi wanajitambua sasa.



Matatizo ya miaka Zaidi ya 50 unategemea yatatuliwe ndani ya miezi mitano. think positively na appreciate kinachofanyika kwanza. Jifikirie wewe kama ungekuwa Rais for five months ungeweza kufanya hayo unayotuhumu. Jaribu kuangalia kafanya nini. Kama ameweza kuleta discipline kwenye system iliyokuwa imezama, tegemea mengi yatakuja. Mpe muda tu. Ni mapema kufanya evaluation ya haya usemayo.
 
Mkuu umenikumbusha kauli ya boss wangu, wakati wa kampeni alikuwa shabiki mzur sana wa Magu, na hata alipotangazwa alifurahia kweli, week km mbili nyuma wakaja watu wa NSSF wakahangaishana naee weee cku ya tatu akasema hii mutu imekuwa pumbavu sana bora hata ingepita Lowasa nlicheka kweli hadi machozi yakanitoka
 
Naona bado unaendelea upumbavu club... Lowasa angefanya nini nchi hii we mbulula... Au unajua kuandika na kusoma tu ila ujui kutazama vitu kwa kina.. Tanzania tunaeneo kubwa sana vijana waende kulima
Kulima sio tatizo, umewapatia mitaji wakashindwa????
 
tunamkumbuka kwa wizi wa Richmond.angekuwa rais angeuza nchi mzee wa mamvii
 
eneo la ardhi lililosalia linafaa kwa matumizi ya kilimo cha bangi, na serikali imepiga marufuku kilimo cha bange ..
 
Ni ujinga mtupu kwa kijana tena msomi kuanza kumlaumu JPM muda huu, mambo yote ni hatua kwa hatua, kwa uelewa wako mdogo kwa kuwa Raisi alisema viwanda kwa hali hiyo unataka viwe vimejengwa ndani ya miezi minne? Unatumia makalio kufikiri au tu akili zimekwenda tenge, hata ww ulizaliwa kwa utaratibu na mipango mizuri na ndo maana unajaribu kucomment japo uelewa wako ni mdogo, ni mapema mno kijana kulalamika na wakati upo mjini na mvua zinanyesha mashambani, ingekuwa jambo la busara kwa kuwa unasubiria viwanda kwa muda huu ungekwenda shamba kulima.
 
Kubwa la Malofa hukumbukwa na vilofa na vipumbavu vidogo vidogo tu.
 
Back
Top Bottom